Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,461
- 2,158
HUYO NAYE NI CELEBRITY? AU TZ KILA MUIGIZAJI NI CELEBRITY? HAPA TZ CELEBRITY NI DIAMOND TU WENGINE WASUBIRI KWANZAHivi hawa maselebrity wa kibongo na miandiko hiyo wasiyojua hata kutofautisha L na R,wataweza kutoboa kimataifa kweli kama wanavyolilia wao?
Hapo sina uhakika na elimu yake.
"Nlikuwepo":bolt:
Wewe nae kwa kuharibia wenzio soko bora haujambo, yeye kaisha uzoea uzee, bado zamu yako..!Mie bado naiona hiyo ni midogo
Acha majungu na wewe shida kutaka kumvurugia mwenzio soko..!mtoto wa miaka 11 kama yuko early 20 duuh
Kama sikosei tuzo ilichukuliwa na professor J kwa niaba ya maand coz mkewe ndo cku aliojifunguaLicha ya bongo fleva juzi tu na bado hawajui chichote nakuendelea kubisha reality... Hata me nakumbuka hiyo siku niliangalia tho sikukumbuka mwaka hani coz nilikuwa bado sio mkubwa kivile but nilikuwa mfatiliaji sana wa mziki na tuzo pamoja na miss tanzania zilikuwa hazinipiti na hapo ndipo nilipokuwa namjua Kajala tangu nipo primary.