Baada ya watu kumtukana mtoto wa Kajala huko instagram, Kajala aamua kufunguka na kusema haya

Baada ya watu kumtukana mtoto wa Kajala huko instagram, Kajala aamua kufunguka na kusema haya

Hivi hawa maselebrity wa kibongo na miandiko hiyo wasiyojua hata kutofautisha L na R,wataweza kutoboa kimataifa kweli kama wanavyolilia wao?
Hapo sina uhakika na elimu yake.

"Nlikuwepo":bolt:
HUYO NAYE NI CELEBRITY? AU TZ KILA MUIGIZAJI NI CELEBRITY? HAPA TZ CELEBRITY NI DIAMOND TU WENGINE WASUBIRI KWANZA
 
Watu hawana dogo, ngoja watukaniwe wa kwao tuone!
 
Mie bado naiona hiyo ni midogo
Wewe nae kwa kuharibia wenzio soko bora haujambo, yeye kaisha uzoea uzee, bado zamu yako..!

Pia naomba nitafute pm tujadili mambo ya maendeleo nikuepushe na majungu ya humu maana mwishowe usiku utakukutia hapa jf.. Serious mdada check me kwa pm.
 
Licha ya bongo fleva juzi tu na bado hawajui chichote nakuendelea kubisha reality... Hata me nakumbuka hiyo siku niliangalia tho sikukumbuka mwaka hani coz nilikuwa bado sio mkubwa kivile but nilikuwa mfatiliaji sana wa mziki na tuzo pamoja na miss tanzania zilikuwa hazinipiti na hapo ndipo nilipokuwa namjua Kajala tangu nipo primary.
Kama sikosei tuzo ilichukuliwa na professor J kwa niaba ya maand coz mkewe ndo cku aliojifungua
 
Back
Top Bottom