Angelicious
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 869
- 498
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba ndogo ya Baba yako....Kajala ndo nini?
Ina maana penzi lao lilishamiri mpaka Kajala akanyoa uwaraza kama P Funky!!
Nyumba ndogo ya Baba yako....
Hebu tupe stori kamili sisi tusiokaa sinza,walioana na kajala?walikaa miaka mingapi ya ndoa,pfunk ana yachukuliaje haya ya mama na mtotoYup ndo hivyo kuna wenye miili midogo ukiambiwa yuko la 6 utabisha na pia kuna wenye miili mikubwa kama Paula ukiambiwa yupo darasa hilo utabisha.. Ila Paula sio mkubwa huyo dogo anafumuka tu ana mwili kama mamaake ila kazaliwa 2003.
Sasa aaache kumvalisha nusu uchi na kumtundika Instagram
Hiv mbona Kajala hua hapigii kutuonyesha nyumaa wakati nae ana mzigo wa hajaaa! !!!!
.....we endelea kucheza na ngedere tu,ya mjini achana nayo;Hebu tupe stori kamili sisi tusiokaa sinza,walioana na kajala?walikaa miaka mingapi ya ndoa,pfunk ana yachukuliaje haya ya mama na mtoto
Don't trust this shit joo. Hao huwa hawazeeki wanarudisha miaka Jamii Ya kina wemaKwenye Mkasitv Alisemaga alikuwa akiishi na Pfunk tangu akiwa 16 na alimzaa Paula akiwa na 18 kama sikoei so probably atakuwa na 29 or above.