Baada ya Waziri Mkuu kujiuzulu akiwa madarakani, sasa huenda ikawa ni zamu ya Makamu wa Rais alie madarakani

Lete kwanza ushaidi wa Kakonko alikutwa na 1.6m za kimarekani. Kama huna bora unyamaze uone jinsi Nchi inavyoendeshwa.

Mwanaume kutwa kupiga majungu tu na chuki kwa mwanaume mwenzako.
Wewe kakate vitunguu jikoni
 
Comment bora
 
Eti hadi mtu apishe uchunguzi kwa kifo
 
Mwendazake kajua kunifurahisha. Sasa ni kutokomeza genge la Wasukuma fisadi.
HaaπŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜‚
Mzaha Mzaha Mara Paah Kajiuzuru
 
Majaliwa ajiuzulu Mara moja ili ampe nafasi mama aunde serikali yake, Kama mama atampenda atamrudisha Tena na sio kulazimisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…