mwana fa alimuunganisha ommy kwenye madilimwana fa!! staki kuamni.. lkn kama ndo ivyo tyr....ndo ishakua amna namna!!
my dear una stress y cant u stay on ur own lane baby gal?sa kipi kibaya kimesemwa hapa can you tak a several seat please and chill kama hujaaachiwa ela ya mboga relax sio lazima upike otherwise you need a tight hug coz ur out of topic alafu we hujanitiaa kichefu chefu ila umenitapisha kabisa kwa ulichokiandikaWatu kama wewe na wenzako, sielewi y JF wanawabeba kwa kuleta stories za uongo. Hata kama ni kwa ajili ya traffic, ila imezidi.
Yaani mnalala mnawaza hao JF lolote tu, ndio vizuri haswa kwa anayeingiza pesa nyingi.
Kivingine mnatia kichefuchefu
hahahhah asikwambiee mtu ukiona mtu anamsema mwenzio kuhusiana na hiyo kitu ni kuwa 100%naye ni mlengwa
Mkuu ukienda kupigana watu ndio watajua kweli unapumuliwa.Nikiwa kama mwanaume rijali, nitukane matusi yote lakini ukinitukana kama hilo tusi alilotukanwa Ommy dimpoz(mapozi) tutagawana majengo ya serikali.
[emoji35] Pambavu
wewe nawe mbishi? diamond kapost dakikia 14 baada ya dimpoz kupost.. hizo Instagram page mnazo peke yenu?We nae,sasa unabishana na mimi ambaye nimewasha Notification On huko insta?!
Aliyeanza kupost ni Diamond,ndipo baada ya dakika kama ishirini kupita Ommy povu likamtoka
Mpe jicho uoneNasikia jamaa jogoo hapandi mtungi
yaah anajuaa kuimba saana kwa hilo namsujududia he deserve the best of the bestSio mpenzi au shabiki wa nyimbo za Diamond, lakini kwa uwezo wake mkubwa nampigia saluti kubwa mno. Hana mpinzani!
umemsahau wolper aiseeeeeee na wengine lukuki bila kumsahau yule hawa waliyeimba naye na alikuwa baby wake baada ya kuachwa na aliyemuimbiaa nenda kamwambieNinachoamini diamond anamtoto mmoja na mimba juu.
Mademu aliowapitia ni wengi tu wengine maarufu km wema, jokate, peni etc.
Ajames was decor aaaah, lolsa we unafikir mchezo yaan hawa wanawekwa ndani wanaimbiaa huko wote sema ommy shabiki wake ana mtunza maelaaaaa kwan mond shabiki yake si alikuwaa chief kiumbe?kamuulizeni yule james wa decor mond ni nani?au kamuulizeni yule fresh mediaa wale wanamjuaa mondi vizur saanaaa au mkishindwaa saana mfateni juma lukole yule mkata mauno wa fm academia
Umeshinda mkuu..wewe nawe mbishi? diamond kapost dakikia 14 baada ya dimpoz kupost.. hizo Instagram page mnazo peke yenu?
im sorry sijasema kitu kama hicho na hii post haihusiana na hayo mamboKumbe na wewe ni Punga mchele mchele? Basi sawa.
warumi nisaidie yule najua wamjuaaaaAjames was decor aaaah, lol
Hapo "highly protected" kawapige fix wehuWewe akili huna youtube juzi wamempa diamond tuzo hawakuona kama ananunua tuzo?
Nikupe elimu kidogo tu account ya diamond ya youtube iko verified na iko protected sana kikiingia kitu chochote ambacho si chakawaida youtube wanakiblock
Kwa wasanii wa East africa a/c ya diomond iko highly protected na wenyewe youtube wanajua umuhimu wa account ya diamond
Sasa wewe endelea kuleta vistory vyako vya instagram na magroup ya wasapu
Sawa kabisa mkuu..umemsahau wolper aiseeeeeee na wengine lukuki bila kumsahau yule hawa waliyeimba naye na alikuwa baby wake baada ya kuachwa na aliyemuimbiaa nenda kamwambie