Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Watu kama wewe na wenzako, sielewi y JF wanawabeba kwa kuleta stories za uongo. Hata kama ni kwa ajili ya traffic, ila imezidi.

Yaani mnalala mnawaza hao JF lolote tu, ndio vizuri haswa kwa anayeingiza pesa nyingi.

Kivingine mnatia kichefuchefu
 
nay mwenye shika adabi yako alilenga msumari mondi ndo kaja kupigilia kabisa.......kupumuliwa kisogoni na mwanaume mwemzio🙂
 
Watu kama wewe na wenzako, sielewi y JF wanawabeba kwa kuleta stories za uongo. Hata kama ni kwa ajili ya traffic, ila imezidi.

Yaani mnalala mnawaza hao JF lolote tu, ndio vizuri haswa kwa anayeingiza pesa nyingi.

Kivingine mnatia kichefuchefu
my dear una stress y cant u stay on ur own lane baby gal?sa kipi kibaya kimesemwa hapa can you tak a several seat please and chill kama hujaaachiwa ela ya mboga relax sio lazima upike otherwise you need a tight hug coz ur out of topic alafu we hujanitiaa kichefu chefu ila umenitapisha kabisa kwa ulichokiandika
 
Sio mpenzi au shabiki wa nyimbo za Diamond, lakini kwa uwezo wake mkubwa nampigia saluti kubwa mno. Hana mpinzani!
 
Nikiwa kama mwanaume rijali, nitukane matusi yote lakini ukinitukana kama hilo tusi alilotukanwa Ommy dimpoz(mapozi) tutagawana majengo ya serikali.
[emoji35] Pambavu
Mkuu ukienda kupigana watu ndio watajua kweli unapumuliwa.
 
We nae,sasa unabishana na mimi ambaye nimewasha Notification On huko insta?!

Aliyeanza kupost ni Diamond,ndipo baada ya dakika kama ishirini kupita Ommy povu likamtoka
wewe nawe mbishi? diamond kapost dakikia 14 baada ya dimpoz kupost.. hizo Instagram page mnazo peke yenu?
 
Ninachoamini diamond anamtoto mmoja na mimba juu.
Mademu aliowapitia ni wengi tu wengine maarufu km wema, jokate, peni etc.
 
Sio mpenzi au shabiki wa nyimbo za Diamond, lakini kwa uwezo wake mkubwa nampigia saluti kubwa mno. Hana mpinzani!
yaah anajuaa kuimba saana kwa hilo namsujududia he deserve the best of the best
 
Ninachoamini diamond anamtoto mmoja na mimba juu.
Mademu aliowapitia ni wengi tu wengine maarufu km wema, jokate, peni etc.
umemsahau wolper aiseeeeeee na wengine lukuki bila kumsahau yule hawa waliyeimba naye na alikuwa baby wake baada ya kuachwa na aliyemuimbiaa nenda kamwambie
 
sa we unafikir mchezo yaan hawa wanawekwa ndani wanaimbiaa huko wote sema ommy shabiki wake ana mtunza maelaaaaa kwan mond shabiki yake si alikuwaa chief kiumbe?kamuulizeni yule james wa decor mond ni nani?au kamuulizeni yule fresh mediaa wale wanamjuaa mondi vizur saanaaa au mkishindwaa saana mfateni juma lukole yule mkata mauno wa fm academia
Ajames was decor aaaah, lol
 
Wewe akili huna youtube juzi wamempa diamond tuzo hawakuona kama ananunua tuzo?
Nikupe elimu kidogo tu account ya diamond ya youtube iko verified na iko protected sana kikiingia kitu chochote ambacho si chakawaida youtube wanakiblock
Kwa wasanii wa East africa a/c ya diomond iko highly protected na wenyewe youtube wanajua umuhimu wa account ya diamond
Sasa wewe endelea kuleta vistory vyako vya instagram na magroup ya wasapu
Hapo "highly protected" kawapige fix wehu
 
umemsahau wolper aiseeeeeee na wengine lukuki bila kumsahau yule hawa waliyeimba naye na alikuwa baby wake baada ya kuachwa na aliyemuimbiaa nenda kamwambie
Sawa kabisa mkuu..
Sasa kuhusu uliyosema wewe hapo juu inakuwaje yan, mimi sijaelewa kabisa mkuu wale wale kivipi. Nielezee japo juu juu mimi nitakuelewa fresh kabisa
 
Back
Top Bottom