Baada ya WCB kutoa Wimbo: Ommy Dimpoz atao mapovu, Diamond amjibu

Kwani Diamond au WCB wametajwa direct hadi Diamond ajibu kuhusu viewers? Halafu kwani Diamond kamtaja Ommy Dimpoz hadi useme alichofanya siyo sahihi? Unapoanzisha ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo usilalamike pale vioo vinapopukutishwa kwa kupopolewa na mawe. Jeuri ya biskuti itumbukize kwenye soda.
 
Nasikia wasanii wengi sana wanapumuliwa ata yule msanii mkubwa mwenye status kubwa apa mjini jerry joshy na yy et anapumuliwa cjui izo story za kweli
 
cha ajabu wanaoshindanisha na kumzungumzia ommy kwa simba na wachache...

hakuna kiki hapa
 
Ommy siku zingine ufunge bakuli, hakuna atakalofanya Diamond litafunikwa kwa jinsi wabaya wake mnavyomfatilia kila siku.

Pia mkumbuke kuna sheria jamani, humu hamjajificha hiyo ya kutungatunga.
 
Nasikia wasanii wengi sana wanapumuliwa ata yule msanii mkubwa mwenye status kubwa apa mjini jerry joshy na yy et anapumuliwa cjui izo story za kweli
we unashangaa wasanii badala ya kuhangaa viongozi hebu wacha watu wale starehe maisha yenyewe mafupi
 
Ommy siku zingine ufunge bakuli, hakuna atakalofanya Diamond litafunikwa kwa jinsi wabaya wake mnavyomfatilia kila siku.

Pia mkumbuke kuna sheria jamani, humu hamjajificha hiyo ya kutungatunga.
dear coco mimi wasifiaa kwakuwa na vpaji vya kuimba na kucheza hayo mengine im soleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…