Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Kwani Diamond au WCB wametajwa direct hadi Diamond ajibu kuhusu viewers? Halafu kwani Diamond kamtaja Ommy Dimpoz hadi useme alichofanya siyo sahihi? Unapoanzisha ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo usilalamike pale vioo vinapopukutishwa kwa kupopolewa na mawe. Jeuri ya biskuti itumbukize kwenye soda.Alichokifanya diamond sio sahihi ashindane kwa hoja sio matusii,angeonyesha kweli wao wcb awanunui views lakini kwa jibu la kumtukana tusi kubwa km ilo ni dalili za kupanic alafu kwa mtu km diamond akupaswa ajibu kitu kidogo kama icho ila angeonyesha kwamba shutuma anazotupiwa azina ukweli..