Haaaaa hii ndio mbaya kwake na yaliyomkuta Jojo last week,
Duh ila kukatwa kubaya jamani,
Daa kusema ukweli nime muonea huruma daa siasa ina maumivu ya pekee tofauti na vitu vingine..mtu hufikiri amekataliwa na dunia....
kama cha ZARI
naona wameandika kama vile leo ndio ametoa shukurani, na siku hizo alitoa shukurani nyingi sana kwa wana Singida.
Nafurahia anawakumbusha wana Kilimanjaro wasikose kufika kumuona leo akifanya show tamu tamu mpaka kieleweke
#watanyooka tu
msisahau kupiga kura tuzo za Nigeria Awards na Afrimma USA
sechi utazipata...Afrimma voti mara nyingi tu, ingine kila siku rudi
Hahahaaa bora wapate kwa kupumzikia...KUKATWA si shughuli ndogooo.
Haaaaa Diamond nae mpana.. alikua wapi siku zote kuwashukuru wana Singida...
Ila atakua anafurahia maana alivyocheza kama Ronaldo
Kusema Wema amekuwa wa mwisho ni kutomtendea haki na kuwa na chuki naye. Tuweke vizuri kwa lugha yenye staha na kumbukumbu nzuri kwa wajukuu zetu. Wema amekuwa wa nne kati ya wagombea wanne.
Maumivu yanayo husiana na siasa yana uma sana halafu ndio mtu anaweza kudhani kila mtu ampendiNligombeaga Hall representative chuo, NIKAKATWAAA jamani nililiaa kila MTU nilimuona mwangaaa....Sipati picha ana hali gani.
Huyu ndomo mbona anaweweseka sana na ma exs wake? Mpaka anaboa yani nadhan kuna vitu anamis kutoka kwa wema na jokate sio bure, mtu huwez kumuongelea ex wako bila sababu za msingi
Kusema Wema amekuwa wa mwisho ni kutomtendea haki na kuwa na chuki naye. Tuweke vizuri kwa lugha yenye staha na kumbukumbu nzuri kwa wajukuu zetu. Wema amekuwa wa nne kati ya wagombea wanne.