Baada ya Wema kubwagwa, Diamond achafua hali ya hewa

tatizo nyota,mama ubaya alitaka kukimbilia bungeni akatafute kiki kwa kiswa-english change..Nw amekaa
 
hahaha bonge la dongo, nna mpango wa kufungua biashara ya malimao maana...
Nafikir hata iyo supu ya ndimu yako iko out of target mana hata ndimu hazinyweki,sa iv mwendo wa vitanzi tuu
 
Watanyooka tu hao timu vigodoro sasa mtu kashow love kwa wanasingida kiroho safi......mwaka huu vinegar watakunywa kma juice chibu anawaweza sana halafu hakuna tusi jipya hpo

Hahahahahaa mkuuu umeniacha hoii, warumi nmeona km like yako????? upo mkuuu?????
 
JOKATE√√√WEMA√√√Wote hao washanyooka, who's next?
Next inawahusu wote ambao huwa wanaonekana kila siku kwa wema*Inn My Shoes*wanna walitegemea mashavu ya honourable Wema
 
Wanasingida wamemknock Wema down,now anapumulia milija tuu*watanzania wanahitaji mabadiliko na sio kuleta upuuzi bungen
 
Kwenye Udiwani ndo kushajaa kabisa,labda akajaribu Nyumba10,kitu cha mtaa kwa mtaa,ilA na wasiwasi mana majirani zake hawamwelewi kabisaa,bora aanze kushot movie mpya
 
Nligombeaga Hall representative chuo, NIKAKATWAAA jamani nililiaa kila MTU nilimuona mwangaaa....Sipati picha ana hali gani.

Itakuwa ni hall three au hall seven pale...pole saana mamii
 
Huyu ndomo mbona anaweweseka sana na ma exs wake? Mpaka anaboa yani nadhan kuna vitu anamis kutoka kwa wema na jokate sio bure, mtu huwez kumuongelea ex wako bila sababu za msingi

Watu wameshanyooka
 
Huyu ndomo mbona anaweweseka sana na ma exs wake? Mpaka anaboa yani nadhan kuna vitu anamis kutoka kwa wema na jokate sio bure, mtu huwez kumuongelea ex wako bila sababu za msingi

kachoka kutukanwa acha awape vijembe ,Daimond Hana Moyo WA chuma
 
Hahhahhaha......... Naona singida washamnyoosha bibie...rula inasubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…