Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

shida za wanawake mliozaliwa kwenye umasikini ndiyo hizi! kwa hiyo unakereka mumeo kuwasomesha ndugu zake?
haswaaaaaaa,kila mtu anatakiwa achukue responsibility yake kusomesha watoto wa dada na kaka zake inahusuuuuu?kama hawawezi kusomesha watoto zao kwa nini walizaa?
 
Ndomo kujishaua kote ukweni maskini unaambilia dharau na kashfa dah, kweli ng'ombe wa maskini hazai, ukaoe tu Tandale mama wema na wema hawakutaki, kwanza hujawahi kumpeleka wema china kufanya surgery ya t@ko na pesa humpi
Dunia Ina Mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…