Mhhh unavomsema mama wa mwenzio sio vzuri una uhakika lazima amwonye mwanaye
amuonye kuhusu nini? by the way hivyo ndivyo wanavyoonya watoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh unavomsema mama wa mwenzio sio vzuri una uhakika lazima amwonye mwanaye
haswaaaaaaa,kila mtu anatakiwa achukue responsibility yake kusomesha watoto wa dada na kaka zake inahusuuuuu?kama hawawezi kusomesha watoto zao kwa nini walizaa?shida za wanawake mliozaliwa kwenye umasikini ndiyo hizi! kwa hiyo unakereka mumeo kuwasomesha ndugu zake?
Wacha movie iendelee, hivi season ya ngapi sasa hivi
Dunia Ina MamboNdomo kujishaua kote ukweni maskini unaambilia dharau na kashfa dah, kweli ng'ombe wa maskini hazai, ukaoe tu Tandale mama wema na wema hawakutaki, kwanza hujawahi kumpeleka wema china kufanya surgery ya t@ko na pesa humpi
Kazi KweliAnd things just turned upside down.
Bring back our wema!!😀😀😀Sikukuu kajifungia analia tu,hakuna hata picha aliotupia yupo kwenye bataAnd things just turned upside down.
[emoji23][emoji23]ID yangu ya Zamani ilee nimeiona,ahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]