mchaga jeuri
Member
- Nov 2, 2014
- 8
- 3
Hahahaha duh!Ukimuuliza Babu Tale atakuambia hii nayo Kiki kwa Nassib.
Ova
eti mastrechmark kama mtoto wa pundamilia!Pia mimi nimesikia hii habari jamani...eti unasema Ali Kiba sio maarufu???
Labda umaarufu wa skendo chafu ndio atakua hana...ila kama ni kweli amuache mkaka wa watu ana kisichana chake kizuri kama nini huyo mama ubaya na mastrechmark yake haoni ndani...
Sana Wii.
Ila umejimissisha!
eti mastrechmark kama mtoto wa pundamilia!
Watu wana maneno machaaafu kama mitaro ya jijî!
Na mtu akioa mwanamke wa aina yako, hakika hatofurahia ndoa.Bora waachane tu,Ukiolewa na Diamond ni stress tupu,ukoo wote unamtegemea.asomeshe watoto wa esma,amlishe esma ,mama yake,ukiolewa na mtu wa hivi hutaifurahia ndoa.
yaani siku nitakayoona globo kiba na wema wapenzi ndo mwisho wangu kumpenda kiba siku hiyo hiyo tunaachana manjia
Unajua wanawake sio sana,kutegemewa kwao kama wanaume.Na mtu akioa mwanamke wa aina yako, hakika hatofurahia ndoa.
Wanawake hawategemewi kwao kama wanaume coz' wenyewe wakishavutwa ndani, matatizo ya kwao yanageuka kuwa msala wa huyo huyo mwanaume... kuna wanaume kibao wamesomesha mashemeji lakini ni nadra kwa wanawake kusomesha mashemeji na mawifi zao hata kama mambo yao safi! Wanaume ni korokoro... wanabeba kila kitu... ya kwetu na ya wenzetu kwa maana na ya kwenu!!Unajua wanawake sio sana,kutegemewa kwao kama wanaume.
Ndomo alivyo kitombi hivyo kweli atadumu na nani??
Haya.....yetu macho!
Huyu mama hamjui mwanae aisee...sasa hivi atakuja aseme 'WHAT I NEED IN THIS LIFE IS ONLY MY BABY CHIBU" ngoja Ndomo acukuliwe utaona movie mpya
Kolig upo?
Unajua wanawake sio sana,kutegemewa kwao kama wanaume.
Una uhakika? What if kama analala doro.
Sasa ile harusi ya uwanja wa taifa ndo basi tena tunaukosa mnuso??????? Ila ubuyu huu mtamu kama wa ZNZ
eti mastrechmark kama mtoto wa pundamilia!
Watu wana maneno machaaafu kama mitaro ya jijî!
mama na binti yake wote wauza "k" tu!
Bora waachane tu,Ukiolewa na Diamond ni stress tupu,ukoo wote unamtegemea.asomeshe watoto wa esma,amlishe esma ,mama yake,ukiolewa na mtu wa hivi hutaifurahia ndoa.