Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Baada ya Wema kummwaga Diamond, Mama Wema afanya sherehe

Pia mimi nimesikia hii habari jamani...eti unasema Ali Kiba sio maarufu???
Labda umaarufu wa skendo chafu ndio atakua hana...ila kama ni kweli amuache mkaka wa watu ana kisichana chake kizuri kama nini huyo mama ubaya na mastrechmark yake haoni ndani...
eti mastrechmark kama mtoto wa pundamilia!
Watu wana maneno machaaafu kama mitaro ya jijî!
 
eti mastrechmark kama mtoto wa pundamilia!
Watu wana maneno machaaafu kama mitaro ya jijî!

Haha hahaaaaa ukimtizama kwa ukaribu anatia kinyaa....bora umuone insta
 
sizitaki mbichi hizi.
MTU mzima umri tu ,hovyo kabisa eti simtaki naniliuu na party juu khaa ukubwa wa mama huyu ni jalala la m.a.v.i
 
Bora waachane tu,Ukiolewa na Diamond ni stress tupu,ukoo wote unamtegemea.asomeshe watoto wa esma,amlishe esma ,mama yake,ukiolewa na mtu wa hivi hutaifurahia ndoa.
Na mtu akioa mwanamke wa aina yako, hakika hatofurahia ndoa.
 
yaani siku nitakayoona globo kiba na wema wapenzi ndo mwisho wangu kumpenda kiba siku hiyo hiyo tunaachana manjia

Nitashangaa aisee!!yani katika makosa yasiyo na msamaha hilo litakuwa mojawapo...
 
Unajua wanawake sio sana,kutegemewa kwao kama wanaume.
Wanawake hawategemewi kwao kama wanaume coz' wenyewe wakishavutwa ndani, matatizo ya kwao yanageuka kuwa msala wa huyo huyo mwanaume... kuna wanaume kibao wamesomesha mashemeji lakini ni nadra kwa wanawake kusomesha mashemeji na mawifi zao hata kama mambo yao safi! Wanaume ni korokoro... wanabeba kila kitu... ya kwetu na ya wenzetu kwa maana na ya kwenu!!
 
Unajua wanawake sio sana,kutegemewa kwao kama wanaume.

Nilichomaanisha ni kwamba ukiona mwanamke ana wasiwasi eti kisa mume anawasiadia nguzu zake basi nae hafai na ana vi element vya roho mbaya ndani yake.
 
Ao wapo wanaigiza movie inaitwa wema & Diamond
Ila kiukwel sijui itatoka lina maaana ni zaidi ata ya James bond
 
Bora waachane tu,Ukiolewa na Diamond ni stress tupu,ukoo wote unamtegemea.asomeshe watoto wa esma,amlishe esma ,mama yake,ukiolewa na mtu wa hivi hutaifurahia ndoa.

shida za wanawake mliozaliwa kwenye umasikini ndiyo hizi! kwa hiyo unakereka mumeo kuwasomesha ndugu zake?
 
Back
Top Bottom