Baada ya Wema Sepetu kumiliki Range Rover, Wolper atangaza kubadilisha range yake

Inaonekana industry ya Bongo muvi inalipa sana ingawa naona inalipa sana kwa upande wa akina dada tu.
 
Hivi mbona hizo evoque sio kali kihivyo lakini watu wanazishobokeeea mara mia ingekua Discovery 4..LR4, au Range Rover Vogue....evoque is such a wacky car...

Ni performance pamoja na fashion tuh mkuu.
 
Bongo kila cku maigizo wolper alishamiliki X6 kimaigizo na Wema alishamiliki Q7 kimaigizo kila kinachoendelea mbele ni kimaigizo. Ushindani wa kijinga kumiliki magari
 
Huko zombie land kila kitu comedy kila kitu comedy
 
aliposema m'200 alifikiri yupo kwenye jumba la sanaa anaigiza bora haka kaprimio kangu nakula kiyoyozi taratiiiiib na hii joto ya dar
 
Waweke heshima za nyumba sio kukaa uswazi ovyooo
 
Hivi mbona hizo evoque sio kali kihivyo lakini watu wanazishobokeeea mara mia ingekua Discovery 4..LR4, au Range Rover Vogue....evoque is such a wacky car...

Umeongea mkuu,hasa hizi Range rover vogue new model mi naona ni hatariiii
 
Mnayafufua sasa. Huyu mleta mada si alishafariki
 
Karma is a bitch. Yaani alitukana siku sio nyingi leo nae ameingia kwenye group la haohao aliowatukana Tena wengine wameshapanda hawapo huko.

Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto, hujafa haujaumbika.
Si anapanda ubber na bolt?Au anatembea Kwa miguu kama mifugo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kumbe range rover Evoque ๐Ÿ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ