Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mbona hizo evoque sio kali kihivyo lakini watu wanazishobokeeea mara mia ingekua Discovery 4..LR4, au Range Rover Vogue....evoque is such a wacky car...
Hivi mbona hizo evoque sio kali kihivyo lakini watu wanazishobokeeea mara mia ingekua Discovery 4..LR4, au Range Rover Vogue....evoque is such a wacky car...
Si anapanda ubber na bolt?Au anatembea Kwa miguu kama mifugo🤣🤣Karma is a bitch. Yaani alitukana siku sio nyingi leo nae ameingia kwenye group la haohao aliowatukana Tena wengine wameshapanda hawapo huko.
Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto, hujafa haujaumbika.
Kumbe range rover Evoque 🙄Vita vikali vinaendelea kati ya wadada wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya filamu , wema sepetu pamoja na jackline wolper, ambapo hivi karibuni mrembo wolper alipost kwenye ukurasa wake wa instagram gari lake jipya la kifahari aina ya range rover evoque , baada ya siku kadhaa wema sepetu alitangaza kujizawadia gari aina ya range Rover evoque katika sherehe yake ya kuzaliwa kama aliyo post jackline wolper na kuwaacha watu katika hali ya sintofahamu kuhusu warembo hao wenye mvuto zaidi bongo movie.
Hata hivyo, baadae ilijulikana gari analolimiki msanii huyo, ni matunda ya kampeni aliyokuwa akifanya kwenye chama tawala cha ccm, ambapo yeye pamoja na msanii mwenzie steve nyerere walizawadiwa magari hayo ya kifahari.
Kitendo cha msanii wema sepetu kutangaza kujizawadia gari la aina ya range rover kinatafsiriwa kuwa mwiba kwa staa mwenzio jackline wolper ambaye ndiye aliyetangaza kumiliki gari hilo kabla, hata hivyo msanii huyo ametangaza kubadilisha gari hilo haraka iwezekanavyo kwani magari hayo yameonekana kuwa kama njugu mtaani, kauli iliyotafsiriwa na wapenda ubuyu kuwa wolper hakupenda staa mwenzio kumiliki gari hilo kwani alishajihesabia yeye ndio staa pekee wa maigizo anayesukuma gari la kifahari kuwazidi warembo wenzio, kitu ambacho kimekuwa ndoto za ali nacha baada ya msanii mwenzie kuibuka na gari hilo hilo.
Wema na wolper wanahesabiwa kuwa kati ya mastaa wachache wa kike nchini wanaosukuma mkoko wa bei mbaya, ambapo awali lady jaydee ndiye aliyeanza kumiliki mkoko huo kabla ya mastaa wenzie
Yaan ingekua hatareeee mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha binam angekuwepo leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angemchamba wema
Daaa R.I.PHivi k ya wolper bado inanuka?
[emoji1]acha tuSipati picha binam angekuwepo leo