Baada ya Wema Sepetu kutoswa na Calisah arudi kuimba nyimbo za diamond

Mkuu ndio ameigiza zoote hizi?

Year Title
2007 A Point of No Return
2008 Family Tears
2009 Red Valentine
2010 Sakata
White Maria
Tafrani

2011 14 Days
Lerato
Basilisa
The Diary
DJ Ben

2012 Crazy Tenant
House Boy
It Was Not Me

2014 Madame
2015 Mapenzi Yamerogwa
Saa Mbovu
Chungu Cha Tatu

2016 Family

Sure, hapo hawajaweka zile ambazo yeye siyo starring (alizoshirikishwa)
 
Huko Insta kumechafuka inaonekana kuna vita ya kuchafuana ,

Kati ya wadada wa mjini wenye bifu na Wema kina Milly,

Hii kitu kuvuja ni katika kumuharibia Wema ,na walihakikisha wanaipata hiyo clip kwa gharama zozote,

Ni vizuri sasa na yeye Wema kutulia na kuangalia mbele mambo ya kipuuzi aache.
 
Swala sio nani kapita but some privacy,na watu ambao anakuwa nao na kurudia rudia makosa....mfano me relationships zangu zote kila nlpobreak nlkuwa najifunza kitu na sikuweza kurudia type ileile .... Wema needs a matured man anayejielewa alf akiachana na mitandao ya kijamii ataishi kwa furaha sana,akapunguza na marafiki akatulia kabisa atakuwa more happy lkn kwa hii mitandao,kila event ipo inamcost sana
zilikuwa kama ngapi hivi relationships zako eti?
Mfundisheni ubinaadam huyo mama kwa kweli anatia aibu.
 
Huko Insta kumechafuka inaonekana kuna vita ya kuchafuana ,

Kati ya wadada wa mjini wenye bifu na Wema kina Milly,

Hii kitu kuvuja ni katika kumuharibia Wema ,na walihakikisha wanaipata hiyo clip kwa gharama zozote,

Ni vizuri sasa na yeye Wema kutulia na kuangalia mbele mambo ya kipuuzi aache.

Ila jamani, wewe upo chumbani na mpenzi wako, mnarekodi mambo yenu mnayofanya kitandani, mimi mtu wa nje ntajuaje mpaka nitumie gharama kutafuta hizo rekodi zenu na kuzivujisha? kuvujisha wamevujisha wenyewe, tena sana sana ni huyo huyo calisah mana aliona amepata pa kutokea, wema anatumika bila yeye mwenyewe kujijua na hashauriki, watu hasa wa team yake walimuonya sana kuhusu huyo calisah lakini ndo kwanza akawaita monkeys na kuwambia wasimpangie maisha, leo hii lililosemwa limetimia anatafutwa mchawi nani
 
Kumbe Wema ni muigizaji mkuu? ndio maana hata maisha yake anayafanya kimaigizo igizo.

Movie yake moja inaitwaje niangalie japo sijui kama natapata huo mda
Ameigiza movie moja hivi,inaitwa White Maria ameigiza na R.I.P Kanumba.
 
Wema jamani mweeee[emoji134]
We uliemfanyia hivi dada wa watu Mungu anakuona..hizi si akili za kawaida jamani khaaa kutwa kujionyesha unalalana na mwanaume mpya kweli??? Hata kama maneno hayaui lakini yanaumba Wema utaishia pabaya we mwanamke jamani achaaaa
wewe unafikiri anakusikia huyo anahitaji maombi ameshapatwa na roho ya ajabu ya dhambi
 
Wema jamani mweeee[emoji134]
We uliemfanyia hivi dada wa watu Mungu anakuona..hizi si akili za kawaida jamani khaaa kutwa kujionyesha unalalana na mwanaume mpya kweli??? Hata kama maneno hayaui lakini yanaumba Wema utaishia pabaya we mwanamke jamani achaaaa
anasikitisha sana na urembo wote huu anakuwa hivi kwanini jamani kuna kitu hakiko sawa mahali au anakula bange anaona sawa .......... huruma
la mamake naye anachangia huu upuuzi
 
kuna namna si bure anatakiwa asali sana
 
Ila jamani, wewe upo chumbani na mpenzi wako, mnarekodi mambo yenu mnayofanya kitandani, mimi mtu wa nje ntajuaje mpaka nitumie gharama kutafuta hizo rekodi zenu na kuzivujisha? kuvujisha wamevujisha wenyewe, tena sana sana ni huyo huyo calisah mana aliona amepata pa kutokea, wema anatumika bila yeye mwenyewe kujijua na hashauriki, watu hasa wa team yake walimuonya sana kuhusu huyo calisah lakini ndo kwanza akawaita monkeys na kuwambia wasimpangie maisha, leo hii lililosemwa limetimia anatafutwa mchawi nani
Sasa huyo Calisah anakataa kama ndo yeye alozitoa, kwa kweli hujui umuamini nani, I had a lot of sympathy for Wema lakini naona kwa sasa mambo mengi ana ya invite herself kumfika.
 
Swala sio nani kapita but some privacy,na watu ambao anakuwa nao na kurudia rudia makosa....mfano me relationships zangu zote kila nlpobreak nlkuwa najifunza kitu na sikuweza kurudia type ileile .... Wema needs a matured man anayejielewa alf akiachana na mitandao ya kijamii ataishi kwa furaha sana,akapunguza na marafiki akatulia kabisa atakuwa more happy lkn kwa hii mitandao,kila event ipo inamcost sana

Amna mwanamme anaejielewa atamfata Wema,kwanza ni kujidhalilisha.
 
Swala sio nani kapita but some privacy,na watu ambao anakuwa nao na kurudia rudia makosa....mfano me relationships zangu zote kila nlpobreak nlkuwa najifunza kitu na sikuweza kurudia type ileile .... Wema needs a matured man anayejielewa alf akiachana na mitandao ya kijamii ataishi kwa furaha sana,akapunguza na marafiki akatulia kabisa atakuwa more happy lkn kwa hii mitandao,kila event ipo inamcost sana
Una akili sana,privacy...privacy...
Period
 
Hv n lazima kujirecord wanapofanya vtu vyao, they want to make a documentary kwamba cku wakifa wataacha hyo legacy for the next generation, kwel dunia ina mambo
 
Ila jamani, wewe upo chumbani na mpenzi wako, mnarekodi mambo yenu mnayofanya kitandani, mimi mtu wa nje ntajuaje mpaka nitumie gharama kutafuta hizo rekodi zenu na kuzivujisha? kuvujisha wamevujisha wenyewe, tena sana sana ni huyo huyo calisah mana aliona amepata pa kutokea, wema anatumika bila yeye mwenyewe kujijua na hashauriki, watu hasa wa team yake walimuonya sana kuhusu huyo calisah lakini ndo kwanza akawaita monkeys na kuwambia wasimpangie maisha, leo hii lililosemwa limetimia anatafutwa mchawi nani
Kwanini Kila mwanamme anayekuwa na Wema mnasema anamtumia?Rafiki anamtumia!
Huyo Wema anayetumika na kufaidisha watu ana lipi hasa?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Anatumika kuharibu jamii huyu binti anajua anachokifanya shit [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom