Baada ya Wenyeviti kuondolewa, Waziri Jerry Silaa avunja Bodi za TTCL, Shirika la Posta (TPC) na UCSAF

Ni board ipi iliteuliwa na viongozi wa CCM ikafaulu kwenye nini? taja
Chache sana, board ya ngorongoro 2010-2015, board ya bonde la maji. Kuna chache ambazo zimepeform
Wakati watu waki focus kwenye board ambazo ziko kwenye mashirika maarufu ndio zinatolewa macho, kuna board zingine zinapambana
 
Kila board imejaa makada ajili ya kupiga pesa na siyo kuleta ufanisi
 
Back
Top Bottom