Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Ngoja niwasubili Gang Chomba na Putin
Ndo wale wale
......wabongo tujifunze kuwa wawazi na wakweli.....hii mambo ya nasikia nasikia.....haisaidii.....Mbona Mh Sugu alitoka kiwazi wazi kabisa na watu tukaelewa mbivu na mbichi.......lakini hii mambo ya kuchimbana mkwara...mara usije kwenye msiba wangu ni.....upuuzi......
watu wanatakiwa wauze "product" na sio "uzuri" au "jina"
Ndo wale wale
Nasikia Serikali imeamuru mitihani yenu form four irudiwe...
Serikali ina majanga mengi hadi inashindwa ianze wapi imalize wapi....! kila mmoja na harakati za kujinufaisha yeye na si waliomweka madarakani!
Mti wenye matunda ndo hupopolewa mawe.
Now here is a real man! Gadner nimemkubali, standing up for what mteja na mkewe anaamini. Lady jay dee is lucky to have you ....broda.
Ila sasa gadner, hata cd zenu kuuzwa mitaa huyo kirusi ndo kazuia? Mimi ni mshabiki mkubwa sana wa jaydee. Leteni cd basi!
Tola niaje?
Mkuu tupo pamoja katika hili sakata, ila tofauti zetu ni kuwa wewe umekubali kupokea hii ishu bila kuitafiti zaidi na bila kuihoji au hata kusikiliza utetezi wa upande wa pili.
Ila kama kawa komredi tuko pamoja.
Safi gadna sema na ww uache umalaya..umewekwa ndani utulie sasa
kesho kusaga au ruge ataongea kwenye powerbreakfast kuwadanganya wadanganyika,jana kulikuwa na kikao kizito cha kumjadili uyu binti komando,ameanza kuwanyima usingizi.