Baada ya wosia wa Lady Jaydee: kauli ya Gardner G. Habash

Baada ya wosia wa Lady Jaydee: kauli ya Gardner G. Habash

Ngoja niwasubili Gang Chomba na Putin

Tola niaje?
Mkuu tupo pamoja katika hili sakata, ila tofauti zetu ni kuwa wewe umekubali kupokea hii ishu bila kuitafiti zaidi na bila kuihoji au hata kusikiliza utetezi wa upande wa pili.

Ila kama kawa komredi tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia Serikali imeamuru mitihani yenu form four irudiwe...
Serikali ina majanga mengi hadi inashindwa ianze wapi imalize wapi....! kila mmoja na harakati za kujinufaisha yeye na si waliomweka madarakani!
 
......wabongo tujifunze kuwa wawazi na wakweli.....hii mambo ya nasikia nasikia.....haisaidii.....Mbona Mh Sugu alitoka kiwazi wazi kabisa na watu tukaelewa mbivu na mbichi.......lakini hii mambo ya kuchimbana mkwara...mara usije kwenye msiba wangu ni.....upuuzi......

watu wanatakiwa wauze "product" na sio "uzuri" au "jina"

Ndo wale wale

Nasikia Serikali imeamuru mitihani yenu form four irudiwe...

Serikali ina majanga mengi hadi inashindwa ianze wapi imalize wapi....! kila mmoja na harakati za kujinufaisha yeye na si waliomweka madarakani!

hahahahah......kwi kwi kwi kwi.....Mkuu Gang Chomba umenichekesha sana leo.....na hasa hapo ulipojibiwa!.....
 
Last edited by a moderator:
Now here is a real man! Gadner nimemkubali, standing up for what mteja na mkewe anaamini. Lady jay dee is lucky to have you ....broda.

Ila sasa gadner, hata cd zenu kuuzwa mitaa huyo kirusi ndo kazuia? Mimi ni mshabiki mkubwa sana wa jaydee. Leteni cd basi!
 
jide amekuja na idea nzuri sana ya kuwakimbia hawa wanyonyaji labda wamfuate na uko..atauza cd zake kupitia max malipo kuanzia mwishoni mwa mwezi huu,so kama ni shabiki toa support.
 
Tola niaje?
Mkuu tupo pamoja katika hili sakata, ila tofauti zetu ni kuwa wewe umekubali kupokea hii ishu bila kuitafiti zaidi na bila kuihoji au hata kusikiliza utetezi wa upande wa pili.

Ila kama kawa komredi tuko pamoja.

kesho kusaga au ruge ataongea kwenye powerbreakfast kuwadanganya wadanganyika,jana kulikuwa na kikao kizito cha kumjadili uyu binti komando,ameanza kuwanyima usingizi.
 
Safi gadna sema na ww uache umalaya..umewekwa ndani utulie sasa
 
kesho kusaga au ruge ataongea kwenye powerbreakfast kuwadanganya wadanganyika,jana kulikuwa na kikao kizito cha kumjadili uyu binti komando,ameanza kuwanyima usingizi.

Kikao kilifanyika wapi?
Na wahusika walikuwa ni akina nani?
Je naweza pata hadidu za rejea?
 
....Sikujua kwamba Joe na Ruge.....ni Miungu ya Wasanii....duuh
 
Kikao kilifanyika wapi?
Na wahusika walikuwa ni akina nani?
Je naweza pata hadidu za rejea?

Tusubirii hiyo kesho tusikie!
Duh siaati picha Gerald Hando alivyo mnafiki ataavyoshadadia, na kuutoa kashfa kama yeye ndo ashadadia!
 
duuuh ki ruge chenyewe hata hakijai mkononi lakini ndo balaa....kweli bongo tambarareeezz.
 
Kabila analotoka Ruge wala sishangai hawa watu wa kabila hilo nawajua sana! Jaribu kupepeleza halafu rudini hapa mjue jamii ya kabila hili wana silka gani katika maisha wanayoishi na watu wa makabila mengine!
 
Gardner is the brave man who knows how to answer questions he is very talented presenter in this country big up and keep it up. rughe and kusaga rip.
 
Back
Top Bottom