Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Nimepenyezewa za chini ya kapeti.
Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland.
Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani ya Raja Ili tu wawavujishie Siri ya jinsi wanavyopamabana na sisi humu nchini.
GENTAMYCINE hao walioshika nafasi ya pili hautowaepushia na kikombe Cha Dar es Salaam Young Africans na mkiendelea wewe na wenzako hiyo Derby ijayo tutamwambia Mayele asiwaonee huruma. kama mzunguko wa kwanza.
Kila hatua dua.