Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Yanga inatisha zaidi ya Israili mtoa rohoYanga hii hata sisi mashabiki wake tunaiogopa Wallah
Weka wewe hicho kichwa Cha habariKutinga robo fainali ligi gani mzee kichwa cha habari kiweke wazi basi,
Utopolo punguzeni ushamba, yaani draw inawezaje kuchengeshwa kwa kuongea na maafisa? Mnafikiri maafisa wa CAF ni kama marefa wa bongo?Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland.
AhahahajUtopolo punguzeni ushamba, yaani draw inawezaje kuchengeshwa kwa kuongea na maafisa? Mnafikiri maafisa wa CAF ni kama marefa wa bongo?
Kweli acha Tuone tunapangwa na nani!?Mtani akitulia atafika mbali
Washiri wa kombe la wajane mna ushamba na ulimbukeni mwingi sanaNimepenyezewa za chini ya kapeti.
Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland.
Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani ya Raja Ili tu wawavujishie Siri ya jinsi wanavyopamabana na sisi humu nchini.
GENTAMYCINE hao walioshika nafasi ya pili hautowaepushia na kikombe Cha Dar es Salaam Young Africans na mkiendelea wewe na wenzako hiyo Derby ijayo tutamwambia Mayele asiwaonee huruma. kama mzunguko wa kwanza.
Kila hatua dua.