Baada ya Yanga kuwaalika Kaizer Chiefs siku ya Wananchi, Je Simba Itamwalika nani siku ya Simba day?

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
392
Reaction score
798
Ili uwe bora inabidi kujipima na walio kuzidi ubora, Yanga kwa upande wao wamelitambua hilo imeona itafute timu iliyo juu yao kwenye rank za Caf ili ijipime nayo.

Ukija kwa upande wa Simba yenyewe ni ya 7 kwenye rank za Caf, waliopo juu yake wote watashiriki nae kwenye Africa Super Leage, je kuna timu itakubali endapo Simba itaialika kwenye Simba day?

Na kama haitakuwa hivyo, je Simba ikialika timu iliyopo chini yake kwenye rank za Caf itakuwa ni kipimo sahihi kwa Simba??
View attachment 2686084
 
Tusubili tuone, ikumbukwe kuwa

YANGA alipotangaza bajeti yake Simba aka mikia nao wakatangaza bajeti yao ya pili.

YANGA walipotangaza wanazindua Jezi mpya wafanya biashara watume maombi yao ,na Simba aka mikia nao wakatoa Tangazo la Jezi na kuwaalika wafanya biashara waweke oda cha kushangaza na tangazo lenyewe wamelitoa na hakuna Jezi mpya.

YANGA wametangaza kucheza na Kaizer tusubili watakujaje tena, maana naona wanenda kwa mihemuko kisa Yanga kafanya na Sisi tufanye.
 
Yanga wamemtambulisha Mkude namba sita, utaona na Simba wanamtambulisha Fabrice Ngoma namba sita. Yaani Simba kazi yao kuiga tu
 
Waialike Yanga wasipopata wa juu yao.
 
Wivu ni kidonda
 
Ukija kwa upande wa Simba yenyewe ni ya 7 kwenye rank za Caf, waliopo juu yake wote watashiriki nae kwenye Africa Super Leage, je kuna timu itakubali endapo Simba itaialika kwenye Simba day?
Simba haialiki, bali inaalikwa kwenda kuimarisha vikosi vya wanayoialika. Kwa sasa ipo Uturuki
 
Simba ipo pre season Turkey watacheza mechi tatu huko na timu za Turkey Super Lig na Lig one.

Sijui kama utakua umeelewa sidhani!
 
Reactions: BRN
Jezi zipo tayari.
Mzigo upo dukani kwa SANDALAND ( upo store), tunasubiri muda ufike uzinduzi wa jezi ufanyike.

Kati ya tarehe 15 na 20 July, jezi zitakuwa madukani Nchi nzima.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Itawaalika mashujaa
 
Jana Man U wamecheza mechi ya kujipima na Leeds United iliyoshuka Daraja na Sasa wapo Championship.

Tarehe 26 wanacheza na Wrexham waliopanda Daraja kuingia League 2

Arsenal leo wanacheza na Nurnberg wapi Bundesliga 2

Liverpool tarehe 19 watacheza na Karlsruher, tarehe 24 Further na tarehe 30 Leicester walioshuka Championship

Kwa hiyo hawa wote naona wanacheza na Timu zilizowazidi uwezo.

Sijafahamu Kwa Nini ukiwa Shabiki wa Yanga unakuwa huna akili
 
Uzi wa kizwazwa umeishia hapa
 
Reactions: BRN
Jezi zipo tayari.
Mzigo upo dukani kwa SANDALAND ( upo store), tunasubiri muda ufike uzinduzi wa jezi ufanyike.

Kati ya tarehe 15 na 20 July, jezi zitakuwa madukani Nchi nzima.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Utopolo wamekurupuka kuiza zao wapate kuokoteza pesa za usajili..mikwali mingi mara bonus sijui nini lakini hakuna jipya
 
Mbona umepanic
 
Vipers mmemkimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…