PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Ili uwe bora inabidi kujipima na walio kuzidi ubora, Yanga kwa upande wao wamelitambua hilo imeona itafute timu iliyo juu yao kwenye rank za Caf ili ijipime nayo.
Ukija kwa upande wa Simba yenyewe ni ya 7 kwenye rank za Caf, waliopo juu yake wote watashiriki nae kwenye Africa Super Leage, je kuna timu itakubali endapo Simba itaialika kwenye Simba day?
Na kama haitakuwa hivyo, je Simba ikialika timu iliyopo chini yake kwenye rank za Caf itakuwa ni kipimo sahihi kwa Simba??
View attachment 2686084