Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah.. Huo wimbo nimeuskiliza, ni moja kati ya nyimbo chache mbaya kuwahi kushuhudiwa katika ulimwengu wa Industry ya Musicwimbo safi, video safi.. mtoa mada huna lolote zaidi ya chuki binafsi za ki,ke.. wewe ni nani mpaka ufanye conclusion ya wimbo na kushawishi tusiitazame
Lile besi lake lisingeweza kupendeza kwenye Verse ndefu,Ama kweli majumba makubwa hustiri mambo hii kauli kwa namna fulani inashibahiana na hali inayomkuta sasa msanii Enock Bella
Huyu kijana kipindi yupo yamoto band aliwahi kutamba sana na sauti yake nzito na tungo tata zilizowachanganya vilivyo akina dada.
Mwanzoni huyu kijana alikuwa ni dancer tu wakawaida ila mkubwa fella akatumia kila aina ya ushawishi ili huyu jamaa naye aimbe kama wenzake kwenye kundi na akamsifia vilivyo kwamba sauti yake itaziba pengo la marehemu Muhiddin Gurumo lakini siku zote bwana mtu kama huna kipaji huna tu hata ufanye nini.
Alipokuwa Yamoto alijificha nyuma ya wenzake na kuimba maneno mawili matatu na hakuweza kugundulika kirahisi kwamba jamaa ni debe tupu ila tangu kundi livunjike huyu jamaa ana hali mbaya sana kimuziki na hilo limejidhihirisha mara baada ya kutoa wimbo kama solo artist uitwao Sauda.
Aisee huu wimbo ni mbaya mbaya mbayaa kupita maelezo hausikiliziki hauchezeki kwa kifupi hauvutii kabisa au kwa maneno mengine naweza kusema huu ndio wimbo mbovu zaidi kwa mwaka huu 2017/2018.
Jamaa bora aangalie tu ustaarabu mwengine mziki hawezi.
Huko IG watu wachache wamejitokeza kumsapoti lakini wapi ngoma haisapotiki ,imedoda.
View attachment 623529Pole sana Enock Bela tafuta kazi nyingine tu huku kwenye mziki unatukera huna ulichobakiza.
Kusema ukweli ni jambo zuri na huo ni ukweli wako kwake kwamba hujakubali ok ni sawa. Basi wengine wataukubali/watamkubali jamaa na kama kuna sehemu kakosea washauri afanye marekebisho next time. Bidii hushinda yoteAma kweli majumba makubwa hustiri mambo hii kauli kwa namna fulani inashibahiana na hali inayomkuta sasa msanii Enock Bella
Huyu kijana kipindi yupo yamoto band aliwahi kutamba sana na sauti yake nzito na tungo tata zilizowachanganya vilivyo akina dada.
Mwanzoni huyu kijana alikuwa ni dancer tu wakawaida ila mkubwa fella akatumia kila aina ya ushawishi ili huyu jamaa naye aimbe kama wenzake kwenye kundi na akamsifia vilivyo kwamba sauti yake itaziba pengo la marehemu Muhiddin Gurumo lakini siku zote bwana mtu kama huna kipaji huna tu hata ufanye nini.
Alipokuwa Yamoto alijificha nyuma ya wenzake na kuimba maneno mawili matatu na hakuweza kugundulika kirahisi kwamba jamaa ni debe tupu ila tangu kundi livunjike huyu jamaa ana hali mbaya sana kimuziki na hilo limejidhihirisha mara baada ya kutoa wimbo kama solo artist uitwao Sauda.
Aisee huu wimbo ni mbaya mbaya mbayaa kupita maelezo hausikiliziki hauchezeki kwa kifupi hauvutii kabisa au kwa maneno mengine naweza kusema huu ndio wimbo mbovu zaidi kwa mwaka huu 2017/2018.
Jamaa bora aangalie tu ustaarabu mwengine mziki hawezi.
Huko IG watu wachache wamejitokeza kumsapoti lakini wapi ngoma haisapotiki ,imedoda.
View attachment 623529Pole sana Enock Bela tafuta kazi nyingine tu huku kwenye mziki unatukera huna ulichobakiza.
Jipe moyowimbo safi, video safi.. mtoa mada huna lolote zaidi ya chuki binafsi za ki,ke.. wewe ni nani mpaka ufanye conclusion ya wimbo na kushawishi tusiitazame
Kausikilize kisha leta mrejeshoMbona unatumia nguvu kubwa kulazimisha kua wimbo mbaya acha na sisi tuusikilize
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa huo mwili anafaa sana kuwa bodyguard wa dogo Aslay
Umeusikiliza kweli huo wimbo?We jamaa kweli HATER , mbona anaimba vizuri tu. Au kakuchukulia demu wako nini?
Haya nendaNashukuru kwa kunifahamisha kuwa katoa wimbo ngoja nikausikilize
OkFkuc You...
Tatizo hujui mziki ,sikushangaiMtoa post makalio ya shangazi yako! Na liroho lako baya tena la kichawi heshimu juhudi na bidii ya enock nyama weeeee ....ulitaka amuimbe wewe ? Nadiriki kusema wimbo mzuri sana wahusika Ujumbe wake tunauelewa .....wewe na gubu lako tupakule