Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Unaogopa vumbi la congo?Kule lipo lile orijino.Natamani sana kufika Congo Ila hadith sake zinanitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaogopa vumbi la congo?Kule lipo lile orijino.Natamani sana kufika Congo Ila hadith sake zinanitisha
Ushawai kufika congo?Unaogopa vumbi la congo?Kule lipo lile orijino.
Bumper to bumber hiyo...Inaitwa man to man!
Congo wamekata umeme wao wanaowazalishia Wazambia hiyo ni kwa hatua ya kujibu mapigo kwa sababu ya Zambia kufunga mpaka wa Tunduma na kupelekea mizigo wa Congo kuchelewa kufika kwa wakati na hali hiyo imepelekea wafanyabiashara wa Congo kuingia hasara kubwa!
Chanzo ni Mimi mwenyewe nipo Mpakani mwa Zambia na Congo.
Hayupo aliyekushika bunduki iliuamini.
Sijawahi,nimeishia Kapiri
Andika tu kiswahili. Kiingereza bado hujakijua vizuri mkuu!Stop cheating people Zambia is self sufficient in terms of power it exports to Congo Mozambique Malawi so which Congo cut electricity, Nadhana kijana kalewa konyagi
Bado Tanzania hatujaanza kutandika vikwazo