Baada ya Zambia kuufunga mpaka wa Tunduma na mizigo mingi ya Congo kukawia kufika Congo wajibu mapigo;wawakatia umeme Wazambia!

Bumper to bumber hiyo...
 
Stop cheating people Zambia is self sufficient in terms of power it exports to Congo Mozambique Malawi so which Congo cut electricity, Nadhana kijana kalewa konyagi
 
Waasi wa Congo wana semaje kuhusu ili

Dark Side
 
Habari za kijiweni hizi. Unajua mikataba ya nchi na nchi inapofikia kuuziana umeme?

Kwa mfano Ug inauzia Tz umeme. Ila Ug umeme unaweza kata kwao ila wa Tz wasikate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stop cheating people Zambia is self sufficient in terms of power it exports to Congo Mozambique Malawi so which Congo cut electricity, Nadhana kijana kalewa konyagi
Andika tu kiswahili. Kiingereza bado hujakijua vizuri mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…