Baada ya Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² sasa inaenda Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ, China πŸ‡¨πŸ‡³ is going to take over Mombasa port as SGR failed to pay off 😊

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Habari kutoka Zambia zinaeleza kuwa, China inakusudia kuchukua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka kutokana na nchi hiyo kushindwa kulipa madeni. Tayari China imechukua Shirika la Umeme Zambia (ZESCO) na Shirika la Habari Zambia (ZNBC).
 
Wakenya walikosea kumfukuza na kumpiga PI yule dogo wa kichina wakati wanadaiwa.
 
Sisi ndo tunaofatia.

Inabidi tutake kupewa audit ya madeni tunaodaiwa na mchina tunaweza kulia machozi
 
Waichukue Steiglers gorge pia hata uwanja wetu wa JNIA.
 
Kama Mwaafrika hii siyo habari ya kufurahia hata suala la Zambia ni jukumu la AU au SADC kuingilia na kusaidia kwasababu huu ni ukoloni sasa. Hivi vitu Waafrika tunavichukulia kiwepesi lakini ndivyo mababu zetu walivyojikuta wanatawaliwa kilianza kijiji kimoja ghafla bin vu bara zima limechukuliwa.
 
Unajua maana ya ukoloni?

Ukoloni wanachukua mali kwa mabavu na kwa kutumia nguvu za kijeshi..

SADC hawawezi kuingilia kati sababu Zambia, Kenya waliingia mkataba na hao Wachina, hawakulazimishwa ni makubaliano, wakivunja mkataba China wakienda kwenye mahakama za kimataifa za usuluhishi wataondoka na nusu ya nchi..

Wakulaumiwa ni hawa wasomi wetu, wanaanzisha miradi wanaichukulia mikopo mikubwa ambayo haiji kurudisha hela ya mkopo..

SRG ya kenya wameipiga mara 3 ya hela halisi...

Tanzania hatuna mikopo mikubwa china, Tanzania tunakopa IFM, World Bank,

Gas ya mtwara ilisha chukuliwa na wachina 70+%

Bandari ya bagamoyo na yenyewe ilisha chukuliwa nafikiri
 
Wacha kuropoka Bagamoyo hamna bandari kusema imechukuliwa na Mchina hajihusishi na gesi ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…