Unajua maana ya ukoloni?
Ukoloni wanachukua mali kwa mabavu na kwa kutumia nguvu za kijeshi..
SADC hawawezi kuingilia kati sababu Zambia, Kenya waliingia mkataba na hao Wachina, hawakulazimishwa ni makubaliano, wakivunja mkataba China wakienda kwenye mahakama za kimataifa za usuluhishi wataondoka na nusu ya nchi..
Wakulaumiwa ni hawa wasomi wetu, wanaanzisha miradi wanaichukulia mikopo mikubwa ambayo haiji kurudisha hela ya mkopo..
SRG ya kenya wameipiga mara 3 ya hela halisi...
Tanzania hatuna mikopo mikubwa china, Tanzania tunakopa IFM, World Bank,
Gas ya mtwara ilisha chukuliwa na wachina 70+%
Bandari ya bagamoyo na yenyewe ilisha chukuliwa nafikiri