Baada ya Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² sasa inaenda Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ, China πŸ‡¨πŸ‡³ is going to take over Mombasa port as SGR failed to pay off 😊

Ahaaa haaaaa haaaaa

punguza povu mzee,
acha tuongelee uwezekano wa bandari ambayo ndiyo uti wa mgongo kuchukuliwa.
kumbuka hiyo maneno mingi haisaidii the mandarin speaking people to foreclose your big revenue generating facility.
Teh teh teh

Upo sahihi, ndio uti wa mgongo ukanda wote huu unaitegemea hadi Tanzania kaskazini na kanda ziwa, hivyo sio kitu cha kuachiwa kizembe, mtaumia sana.....hehehe huwa mnanipa raha kwa kweli.
 
Upo sahihi, ndio uti wa mgongo ukanda wote huu unaitegemea hadi Tanzania kaskazini na kanda ziwa, hivyo sio kitu cha kuachiwa kizembe, mtaumia sana.....hehehe huwa mnanipa raha kwa kweli.
Mmekuja kutupa raha asee maana mnavyotapatapa humu.......sijui nani anamuhitaji mwenzie maana nyie ndo mnazidi kujipendekeza kwa wenzenu hata kama hawawataki
 
Upo sahihi, ndio uti wa mgongo ukanda wote huu unaitegemea hadi Tanzania kaskazini na kanda ziwa, hivyo sio kitu cha kuachiwa kizembe, mtaumia sana.....hehehe huwa mnanipa raha kwa kweli.

sasa inakueje mtu wangu, hawa jamaa wameshaweka mazingira ya kuinyakua Bandari yenu kama ile ya Sri Lanka na Zambia.
serikali ilisaini mkataba kama vile ni corporate finance, badala ya project finance ambayo ina limited to non recause privileges. Ona sasa at any time T, these guys may take the facility. "The asset (Mombasa Port) is exposed to risk of foreclosure as there is no sovereign immunity, because the government waived the immunity on KPA assets".
 
Haya mambo yapo nje ya uwezo wako kifikira, leteni mtaalam nijadili naye halafu atawashushia kwenye level yenu.
Kwanza kapate darasa kuhusu how bilateral loan agreements between governments works.
Halafu pia issue ya Sri-Lanka huwa mnaivalia njuga bila kuelewa nini kilitendeka pale, katafute mtu akuweke sawa kwa lugha utakayoielewa. Au pia uelezwe kilichotendeka kwa Zambia which is a single commodity economy

In the meantime, Total is having a second thought on Hoima - Tanga pipeline, our refinery will be ready by 2021, in one year alone Kenya spent 249 billion on imported petroleum, so once we begin oil refinery, this Chinese loan will be a pocket change.
Cargo terminating through our port has increased tremendously, the SGR has transported more than two million people in one year alone...
Our port is the most connected in the region with about 33 shipping lines providing direct connectivity to 80 ports globally.

I can go on and on, am not even sure why am bothering to explain stuffs outside your comprehension.
 
Ahaaa haaaaa
The text in red, hamna ulichoeleza zaidi ya kushusha povu,

and the text in blue, please fungua uzi tujadili. wengine siyo wavivu kuandika.

lastly, kuna wakenya wawili, naam watatu ambao wakiandika kitu, huwa natoka na kitu. coz they are talking about issues n not otherwise.
 
Naskia mmeanza kusafirisha lori za maji toka kisumu huko hongereni
 
Hahahahaha, GDP isiyoweza kulipa deni la wachina, isiyoweza kujenga hata kilometer moja kwa pesa za ndani, isiyoweza kupunguza unemployment, isiyoweza kuzalisha chakula cha kutosha, isiyoweza kupunguza slums, hiyo ni GDP au Gross corruption Product?(DCP).
 
Kutoka na kitu au kapa hilo sio tatizo langu maana sina control na mapungufu ya uwezo wako ambayo mwalimu alishindwa kurekebisha.
Ni Watanzania wachache sana hunufaika na elimu wanayopata kutoka kwa Wakenya humu, wengine wenu mpo mpo tu siku ziende.
 
Mnatunufaisha huku nyie mnakufa njaa........pua nyang'au
 
Kutoka na kitu au kapa hilo sio tatizo langu maana sina control na mapungufu ya uwezo wako ambayo mwalimu alishindwa kurekebisha.
Ni Watanzania wachache sana hunufaika na elimu wanayopata kutoka kwa Wakenya humu, wengine wenu mpo mpo tu siku ziende.

ahaaaa haaaaaa
siwezi kuingia kwenye mtego wa ku attack personalities.
Please give the professional opinion of the matter at hand.... "The Mandarin Speaking People to Foreclose the Kenya's major Revenue Source, Mombasa Port."
Let's start with this,
Karibu.
Teh teh teheee tih tih tih.
 
Nyani ni nyani tu hivi wakenya mnategemea mchina aendeshe sgr kiufanisi ili akose dau la kumiliki bandari !!?? Nilazima mchina atawakwamisheni msiweze kulipia sgr yenu ili anufaike pakubwa na kushindwa kuwalipa madeni tena toka mwanzo wa mikataba na gharama ya sgr yenu inaonyesha lengo ilikuwa kuwaujumu
 
Tafuta mtu akufundishe jinsi ya kuuliza kitaalam ili ujibiwe kitaalam, ukijaza mipasho ile yako ya kila siku utachukuliwa kama ulivyo.....
 
Tafuta mtu akufundishe jinsi ya kuuliza kitaalam ili ujibiwe kitaalam, ukijaza mipasho ile yako ya kila siku utachukuliwa kama ulivyo.....

ahaa haaa haaaaa
huwa napenda kujadiliana na watu waliosoma na wenye uelewa wa juu.
Teh teh teh teh
 
Sometimes I have to read several times to comprehend what some Tanzanians write.Using some vocabularies that they don't understand just to show the world that they know everything.
 
Ahaaa haaaaa haaaaa

punguza povu mzee,
acha tuongelee uwezekano wa bandari ambayo ndiyo uti wa mgongo kuchukuliwa.
kumbuka hiyo maneno mingi haisaidii the mandarin speaking people to foreclose your big revenue generating facility.
Teh teh teh
Kwanza kuhusu Reli kufika Uganda nikuwa Exim Bank China kasitisha mikopo Africa kwa muda usiojulikana...Hii nikutokana na kudolola kwa Uchumi Africa...Hiyo habari nimeipata kutoka Ethiopia walipokutana na prime minister wao...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sometimes I have to read several times to comprehend what some Tanzanians write.Using some vocabularies that they don't understand just to show the world that they know everything.
Kasome kwenu huku lazima utoke kapa tu msifosi mambo
 
Kwanza kuhusu Reli kufika Uganda nikuwa Exim Bank China kasitisha mikopo Africa kwa muda usiojulikana...Hii nikutokana na kudolola kwa Uchumi Africa...Hiyo habari nimeipata kutoka Ethiopia walipokutana na prime minister wao...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ahaaa haaa haaa
hawa jamaa hawajui kinachojili.
 
Sometimes I have to read several times to comprehend what some Tanzanians write.Using some vocabularies that they don't understand just to show the world that they know everything.

The ritual begins, likizo ndio hii, ukuje bongo.
 
Hivi kweli kama wenzetu wakenya ndo mdundo wa ngoma ya namna hii, sisi tutaweza kuicheza? Ina mana Kenya wakishindwa kulipa hili deni kama gazeti la Daily News linavyosema la leo tarehe 21/12/2018, bandari yao ya Mombasa mchina anachukua bila masiala?
December 2017 mwaka jana wanasema pia nchi ya Srilanka ilipoteza kuimiliki bandari yao inayoitwa "Hambantota" wachina wataimiliki kwa myaka 99 mpaka warudishe pesa yao.
Sasa, kwetu Wa Tz inatupa kiashiria gani?
 
Muafrika sijui kama ni binadamu mwenye sifa za kuitwa mwanadamu.

Hata katika Taifa la moja ka Afrika kuna kiongozi mmoja kaamua kutafuta sifa binafsi kwa kufanya makubwa mengi huku akitesa wananchi wake ila muafrika (mwanadamu duni) anashangilia bila kupima ulazima wala tija ya kutekeleza miradi yote hiyo kwa wakatI mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…