Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umemaliza hiyo haina mjadala...Kwa taarifa nilizopata pia nikuwa China Exim Bank kasitisha mikopo barani Africa...Kwa sasa anasubilia chake...[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanalamba lolo ya mchinaView attachment 972104
Auditor General warns that China may take over operations of Kenya Ports Authority if Kenya Railway is unable to offset SGR loans!!!
Confirmation that Mombasa port and other KPA assets are collateral for the SGR loan
Lazima akane…...akikubali watoto watakula nini?Cicero chanzo cha hizi taarifa umetoa wapi, ni muhimu siku zote kuambatanisha taarifa na chanzo chake.
Haya soma hapa mkaguzi mkuu mnayedai kaandika hiyo taarifa yupo anaikana na anasema hajaandika kitu kama hich, mpo busy kueneza taarifa za uwongo bila kuwa na chanzo chake cha uhakika.
https://citizentv.co.ke/news/audito...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
Lazima akane…...akikubali watoto watakula nini?
Mkaguzi mkuu wa Kenya ni jamaa moja jasiri, sio kama wa kwenu aliyeumbua ufisadi wa 1.5 trillion halafu akapigishwa kimya tena kwenye mkutano mbele ya wana habari. Wa kwetu hata rais huwa hana uwezo wa kumnyamazisha, akiamua kusema huwa anasema na tunamuamini sana.
Hivyo ukiona hii ameikana, ni wazi MaCCM mumeokoteza tu na kuleta huku ili muwaaminishe Watanzania pumba, nimeshangaa Watanzania wengi tayari wameaminishwa kwamba bandari imeshachukuliwa eti tayari tumeshindwa kulipa, nenda kwenye jukwaa lenu la siasa uone wanavyojadili.
Ni wazi miundo mbinu yetu inawapa maumivu sana nyie, kwa jinsi mumechangamkia hizi habari, yaani huwa mumetegeshea kama fisi, sasa kwa taarifa zenu ujenzi wa SGR unaendelea na lazima tufikishe mwisho na kufanya mengine makubwa.
Haya likatae na hili gazeti lenu pendwaMkaguzi mkuu wa Kenya ni jamaa moja jasiri, sio kama wa kwenu aliyeumbua ufisadi wa 1.5 trillion halafu akapigishwa kimya tena kwenye mkutano mbele ya wana habari. Wa kwetu hata rais huwa hana uwezo wa kumnyamazisha, akiamua kusema huwa anasema na tunamuamini sana.
Hivyo ukiona hii ameikana, ni wazi MaCCM mumeokoteza tu na kuleta huku ili muwaaminishe Watanzania pumba, nimeshangaa Watanzania wengi tayari wameaminishwa kwamba bandari imeshachukuliwa eti tayari tumeshindwa kulipa, nenda kwenye jukwaa lenu la siasa uone wanavyojadili.
Ni wazi miundo mbinu yetu inawapa maumivu sana nyie, kwa jinsi mumechangamkia hizi habari, yaani huwa mumetegeshea kama fisi, sasa kwa taarifa zenu ujenzi wa SGR unaendelea na lazima tufikishe mwisho na kufanya mengine makubwa.
Haya likatae na hili gazeti lenu pendwa
Mombasa port risks being ceded to China on SGR loan default
Leta pia taarifa ya kueleweka kuhusu hio gesiUsiishie kusoma kichwa cha gazeti letu pendwa, pitia na ndani pia uone limemnukuu kwa haya maneno “Any reports that from my office are taken to Parliament. A report picked from the social media is not official".
Wewe unasoma kichwa na kutimka nduki.....
Sibishi uwezekano wa bandari kuwekwa dau, maana mwsho wa siku ili upewe hela nyingi za kutengeneza muundo mbinu wa kipekee ukanda huu kama SGR yetu, lazima uwakune sehemu, lakini taarifa rasmi hazipo, mumeishia kuandika andika tu, wengine mumeaminishwa kwamba Mchina keshachukua bandari.
Taarifa rasmi ndizo tunazozitaka, isiwe kama kwenu gesi hadi leo mabeberu wanaitafuna na kuwaacha maskini ilhali hakuna stakabadhi hata moja inayoeleza mnaliw vipi.
Kenyans are too corrupt. From your excellent to wafagiajiIf this is true then we are heading for a massive disaster...
Leta pia taarifa ya kueleweka kuhusu hio gesi
Gesi ya kwenu hata rais wenu alikiri kwa maneno yake mwenyewe kwamba mnaliwa na mabeberu, hamna taarifa rasmi zaidi ya maneno ya rais maana yeye ndio kichwa cha nchi.
Leo hii rais Uhuru akikiri kiholela kwenye mikutano ya kisiasa kwamba tumeliwa, yaani hata sitasubiri kuambiwa kingine, nitaingia kwenye kuomboleza.
Ahh mchina huku blaza from anaza maza sasa huku na mchina wapi na wapi ni kama wangesema US ama UK wanataka kuchukua bandari ya mombasa tusingeshituka saana maana hao ndo ma baby dady wenu ila mchina anataka kuibeba hapo jiandaeni kutolewa bk na wakina Jet Li ,wameshaanza kuwapa advertise kwenye hiohio reli yenu mnafundishwa kulala chini na kutiwa fimbo.....huko mombasa mtachuma tembele.....Gesi ya kwenu hata rais wenu alikiri kwa maneno yake mwenyewe kwamba mnaliwa na mabeberu, hamna taarifa rasmi zaidi ya maneno ya rais maana yeye ndio kichwa cha nchi.
Leo hii rais Uhuru akikiri kiholela kwenye mikutano ya kisiasa kwamba tumeliwa, yaani hata sitasubiri kuambiwa kingine, nitaingia kwenye kuomboleza.
Teh teh teh tihiii
leta uzi mwingine.
lilopo MBELE yetu ni kama bandari inataka kuchuliwa na Mandarin speaking people.
na hiyo kama walau japo unajua rightist or orthodox dividend relevance theory. how public announcements affect the shares value of the company. Kenya ingekuwa a listed company could experience a downturn of its shares value in the bourse.
hata hivyo, next national credit rating will show a drastic fall.
ni kuomboleza matanga tu.
Wanasema eti imeshachukuliwa. Hawajui maana ya 'may takeover'Hili la bandari yetu kuchukuliwa hamjaanza leo na haitoisha hivi karibuni mumelisema sana tangu.....
Cha msingi, tunatembea kifua mbele tukitegemea reli ifike kwa Museveni hata kama itabidi ngumi. Miundo mbinu yetu hii inawapa tabu sana nyie, maumivu makali lakini hamna namna maana kuwapa mateso hatujaanza leo.
Kila mkipga hatua moja tunapiga kumi, leo mpo kwenye kuchimba chimba mahandaki na kulaza mataluma na kukoroga zege ya SGR ya only 200km, sisi SGR ya more than 500km inatumika na tupo kwenye hatua za mwisho kwa safu ya pili.
Kwa kweli ningelikua nyie ningeumia sana kuona tangu enzi za mababu zenu hadi kizazi cha leo mumeshindwa kuifikia Kenya, na pengo linazidi kuongezeka, na mtapokeza nchi kwa vizazi vijavyo bado mkiwa nyuma yetu. Kila siku mnamezea mate kuona walau kama kuna sehemu tutateleza, lakini sisi hata tukiteleza tuanguke, bado hamna uwezo wa kutufikia, nakumbuka 2008 tulidunda tena kwa pua, lakini mkabaki nyuma tu.
Hizi taarifa za bandari ni dhihirisho tosha mnavyoteseka kusubiri bao, ni kama timu imefungwa mabao hadi mashabiki wanaomboleza kwa kilio, halafu upande wao ubahatike kufika kwenye eneo hatari la wapinzani, yaani kila mtu huzinduka na kuanza kushangilia hata kabla bao kufungwa, tatizo ni pale mnaishia kupiga mpira nje.....kilio!!!
Hili la bandari yetu kuchukuliwa hamjaanza leo na haitoisha hivi karibuni mumelisema sana tangu.....

Mbona watu wanahisi maumivu ya wenyewe na kumeza vidonge? Si watafariki? Waacheni wenye maumivu wajitafutie vidonge vya kumezaAhaaa haaaaa haaaaa
punguza povu mzee,
acha tuongelee uwezekano wa bandari ambayo ndiyo uti wa mgongo kuchukuliwa.
kumbuka hiyo maneno mingi haisaidii the mandarin speaking people to foreclose your big revenue generating facility.
Teh teh teh
Wanaombea Kenya mabaya, nakumbuka kabla ya uchaguzi wengi walisema tujitayarishe kuwa wakimbizi Tz, wengine wakidhihaki na kusema tusikimbilie kwao, lakini wapi!! Sasa wakenya wanaungana kufanya maendeleo, GDP growth as at November ilikua kwa 6%., imagine ya 80Bln plus kwa 6%., na yao ya 56Bln na growth ya 7%., wataisoma number hadi kieleweke..,These two words "May takeover" ni ngumu kwa watanzania kuelewa. Nani kawaambia kuwa Kenya haitalipa deni?
These two words "May takeover" ni ngumu kwa watanzania kuelewa. Nani kawaambia kuwa Kenya haitalipa deni?