Baada ya Zambia 🇿🇲 sasa inaenda Kenya 🇰🇪, China 🇨🇳 is going to take over Mombasa port as SGR failed to pay off 😊

Baada ya Zambia 🇿🇲 sasa inaenda Kenya 🇰🇪, China 🇨🇳 is going to take over Mombasa port as SGR failed to pay off 😊

View attachment 972104

Auditor General warns that China may take over operations of Kenya Ports Authority if Kenya Railway is unable to offset SGR loans!!!

Confirmation that Mombasa port and other KPA assets are collateral for the SGR loan
Being too smart is sometimes very harmful. 'We the so called dumb heads' would never make such a grave mistake.
 
Hii itauma sana kwa wakenya wazalendo... huku waki mwona jirani yao yeye amejenga rail bora na kasi zaidi kwa bei ndogo bila masharti ya kijinga. Pole sana wakenya inabidi mkomae wahusika (UHURUTO) wawajibishwe.
 
That can never be true....👇👇👇😂😂😂
 
What makes you think Kenya won't pay?., Kenya is not Tanzania ya kuhurumiwa na kusamehewa madeni., hamujiwezi, ccm inawadanganya eti inafanya maendeleo kwa pesa zenyu wenyewe, kawaulize hiyo serikali yenyu ya madafu, vyanzo vya kutega uchumi havitoshelezi bajeti ya nchi na pesa za ku run the day to day activities of the government, sasa za maendeleo wanatoa wapi? Kaka mumeenda shule na mumesoma, kuna vyuo vikuu vya nguvu Tanzania! mbona muna pumbazwa?, kisha utafiti ukifanywa, umasikini unazidi kukomaa Tanzania, na nikubwa ukanda huu(EAC), na pia SADC., kuliko ni??, shughulikia vya kwenyu kisha uje tuzungumze.
View attachment 972104

Auditor General warns that China may take over operations of Kenya Ports Authority if Kenya Railway is unable to offset SGR loans!!!

Confirmation that Mombasa port and other KPA assets are collateral for the SGR loan
 
Kama Kenya ni failed state Tanzania itakia nini?., where extreme poverty is worse in both EAC na SADC!., Tanaznia is then a DEAD STATE.
Hasira sasa hizo😂😂😂Kwa pesa zetu👇👇👇8 to 12 lanes
IMG_20181219_123728.jpg
 
What makes you think Kenya won't pay?., Kenya is not Tanzania ya kuhurumiwa na kusamehewa madeni., hamujiwezi, ccm inawadanganya eti inafanya maendeleo kwa pesa zenyu wenyewe, kawaulize hiyo serikali yenyu ya madafu, vyanzo vya kutega uchumi havitoshelezi bajeti ya nchi na pesa za ku run the day to day activities of the government, sasa za maendeleo wanatoa wapi? Kaka mumeenda shule na mumesoma, kuna vyuo vikuu vya nguvu Tanzania! mbona muna pumbazwa?, kisha utafiti ukifanywa, umasikini unazidi kukomaa Tanzania, na nikubwa ukanda huu(EAC), na pia SADC., kuliko ni??, shughulikia vya kwenyu kisha uje tuzungumze.
Hahahahaha
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Na mbona hatujafail? Mmeshinda mkisema failed state kwa miaka ngapi sasa?
Aliyesema Kenya ni failed state sio Tanzania, ni bwana zenu wamarekani. Hahahahaha unataka uone nini ujue Kenya ni failed state?, pitia vigezo vilivyotumika kuiweka Kenya katika kundi la failed States utapata jibu la swali lako.
 
Danganyikas at their best. Mbona mnameza dawa kwa niaba ya wakenya na hawana maumivu?
Failed state Tanzania. LDC
 
I remember telling Jubilee bots that Mombasa port is the loan security for SGR..They fell overthemselves hurling all manner of insults..Well the Truth is out now
Uhuru must enjoy lording over a bunch of deeply gullible idiots, KPA is now on GOK hotlist of "privarisation", Mombasa port will be sold to china as idiots cheer their dear leader's economic policies blindly
 
Back
Top Bottom