Meli za uvuvi ni Tofauti na Ndege.Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi ,nne zitabaki Tanganyika na Ne zitapelekwa Zanzibar ,nazani watapewa shirika la meli la Zanzibar,sasa vipi kuhusu ndege ?
Tiyari zimenunuliwa nyingi mbona hamjawapa Zanzibar fungu lao ? Sisi ni ndugu na tunapendana kutoka dhati ya moyo.
Mnapenda vya kupewa stupid, undugu kwenye kutumbua tuTumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga, kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi kuhusu ndege? Tayari zimenunuliwa nyingi mbona hamjawapa Zanzibar fungu lao? Sisi ni ndugu na tunapendana kutoka dhati ya moyo.
Dreamliner moja ni zaidi ya Bilioni 500Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi kuhusu ndege ? Tayari zimenunuliwa nyingi mbona hamjawapa Zanzibar fungu lao ? Sisi ni ndugu na tunapendana kutoka dhati ya moyo.
Hawajaahidiwa Rais Mwinyi alitangaza kule keake kuwa watanunua meli nne na Magufuli aliwahi sema kuwa serikali itanunua meli nne kwa ajili ya bara. Mleta mada mzushi.Hahahaha
... unalinganisha majahazi ya uvuvi na ndege? Kuwa serious Chief. By the way, hivi Zanzibar wana shirika la ndege?Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi kuhusu ndege ? Tayari zimenunuliwa nyingi mbona hamjawapa Zanzibar fungu lao ? Sisi ni ndugu na tunapendana kutoka dhati ya moyo.
...Dreamliner moja ni zaidi ya Bilioni 500
Zote mbili ni Tilioni 1, Je Zanzibar imechanga shilingapi hadi ipewe mgao?
Bado zile Airbus mbili na Bombaried Dash 8 Q 400
Wajaziwe meli kibao ili wawe busy baharini huko. Watasahau hata siasa. Idle mind is the workshop of the devilTutawanunulia vingapi? Tuwanunulie meli, bado tuwanunulie na ndege! Kwani mapato yao wanafanyia nini? Wataifikia Dubai kweli iwapo kila kitu mpaka wafanyiwe na Tanganyika?
Sasa itabidi tufanye Zanzibar mkoa wa Tanzania bara ndio mufaidi hizi raslimali na kodi zetu,pia muanze kufanya kazi badala ya kutwa kukaa maskani mukinywa kahawa na kula halua.Tumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi kuhusu ndege? Tayari zimenunuliwa nyingi mbona hamjawapa Zanzibar fungu lao? Sisi ni ndugu na tunapendana kutoka dhati ya moyo.
mwishhowe watasema hata wakioa tuwatolee mahariTutawanunulia vingapi? Tuwanunulie meli, bado tuwanunulie na ndege! Kwani mapato yao wanafanyia nini? Wataifikia Dubai kweli iwapo kila kitu mpaka wafanyiwe na Tanganyika?
Wapewe na nani wakati wao ni serikali kamili? Nilidhani uwashauri kuweka vipaumbele kwenye maeneo ya uzalishaji pale wanapopata fedha, ukisema kupewa inaleta taswira ya utegemeziTumesikia nikiwa najiandaa kupanda mkarafuu nikadondoe dondoe nasikia kutoka redio iliyokuwa nakaribia kuifunga ,kuwa Eti Raisi wa JMT amesema Tanzania itanunua meli nane za uvuvi, nne zitabaki Tanganyika na nne zitapelekwa Zanzibar, nadhani watapewa shirika la meli la Zanzibar.
Sasa vipi kuhusu ndege? Tayari zimenunuliwa nyingi mbona hamjawapa Zanzibar fungu lao? Sisi ni ndugu na tunapendana kutoka dhati ya moyo.