mnyonyo ndo mmea gani mkuu?Jambo la kwanza: Kuna vyakula na vinywaji anakula ña kunywa ndio vinaleta hiyo shida anzia hapo kuchunguza ni vyakula gani na vinywaji gani vinavyompa athari apunguze kula hivyo au aache kabisa mpaka atakapokuwa sawa.
Jambo la pili: Tafuta majani ya mnyonyo kila siku asubuhi na jioni unayachemsha na kumkanda miguu yake na hayo majani ndani ya siku saba mpaka 14 atapona.
ahsante kwa ushauriTatizo hilo huweza kuchangiwa na upungufu madini mwilini kama calcium ,potassium na magnesium.
Pia kuvimba kwa mishipa ya damu( deep vein thrombosis) sehemu za miguu.
Tafuta hospital bora zaidi pia uzingatie ushauri wa daktari.
mnyonyo ndo mmea gani mkuu?
Mrudishe hospitali akafanyiwe vipimo zaidi.hakupata changamoto yoyote
Nerve calm 1tab od 1/12Ni mwezi wa nne sasa toka ajifungue baada ya kama wiki moja miguu ikaanza kumuuma, jitihada za kumpeleka hospital zikafanyika akapimwa nakuandikiwa dozi,katumia zaidi ya mara moja kapatiwa dawa mpk na daktari wa maswala ya wanawake wajawazito na waliojifungua!.
kuna muda alipata nafuu mpk akaanza kutembea sawasawa lkn hali imerudi tena huku case nyengine ikiwa ni mikono na miguu! ameanza tena dose lakini!.
kichwa kinauma nipeni ushauri afanye nini aoondokane na hii hali.. kuhusu mtoto yeye yupo salama.