Basi ungelinganisha hivyo pia makabila yote ambayo yapo mpakani, Mombasa haipo mpakani na tanzania,mtu kutoka tanga aje aishi Mombasa au atoke Mombasa aishi tanga haileti undugu wowote pale,huyu anabaki tu mkenya na yule anabaki tu mtanzania ,kwa taarifa yako Mombasa ni mchanganyiko wa makabila madogo ya kabila kubwa la kimijikenda Kama ni wadigo unazungumzia Basi hio itakua kwale county,tanga haina mchonyi,tanga haina mrabai,tanga haina mgiryama,tanga haina mribe wala mdhuruma Sasa huo undugu unatokea wapi ? Au kwa sababu ya wadigo wachache ambayo wapo Mombasa? Wadigo kwao ni kwale na hao ndio watu wa tanga.mombasa haina uhusiano wowote na tanga no muingiliano tu wa watu kipindi hichi kwa ajili ya mishe na Kama unazungumzia wagunya au hata bajuni Wana asili Yao sio tanga Kaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ipo kenya? Kwa taarifa yako Mombasa ipo mbali sana na tanga kwale ndio inapakana na tanga sio Mombasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Haya nimekubali yaishe maana niko mweupe sana kwenye mambo ya Wapwani, maana huwa nashindwa kutofautisha lafudhi zao hao watu wa huko, nimeishi Pemba, Unguja, pia Tanga, Mombasa, Malindi yaani kote huko nilikua nashindwa kutenganisha lafudhi zao, nilikua nawaona jamii moja wote, kuna Msambaa namfahamu tulifanya naye mradi fulani mwaka mzima, kila siku nilikua namuona kama mtu wa Mombasa kabisa, Kiswahili chake neno kwa neno yaani lafudhi ya Kimambasani.
Uzi huu ulikuwa mzuri kama ungeletwa kwa dhamira ya kutoa elimu. Lakini umeharibika kwa kuwa umeletwa kwa dhamira ya mipasho! Siku zote huwa namuambia huyu ndugu yanguNimeona baadhi ya Wakenya wa Mombasa wakitishia kugoma kupimwa Corona na kutolea mifano ya Tanzania ambako matikiti maji, mapaipai n.k. zinapmwa na kukutwa na Corona.
Lafudhi zao ni nyepesi Sana kutofautisha ,Kama wewe ni gwiji wa hii lugha au kiswahili chako sio Cha kubahatisha Basi huwezi ukaona ugumu wowote ,matamshi wa watu wa tanga , tanzania mkoa wa pwani ,dar haswa wale ambao sio wabara kiswahili Chao kinatesti flani hivi ,ukija Mombasa Mara nyingi wanatumia maneno asili ya kingozi ambayo watu wa tanga na Dar hawatumii.
Sent using Jamii Forums mobile app
hao ni wahuni tu,hivi eneo kama bungeni unaweza sema unaogopa kuambukizwa corona!!!!Akishajijua ni mgonjwa anawacha kusambaza, ni simple....naona kwenu hadi wabunge wameikimbia bunge, Makonda anawasaka kama machangudoa ili awarudishe bungeni kwa ulazima...
https://www.jamiiforums.com/data/attachment-files/2020/05/2390738__CoqjfLhVKKaluf7.mp4
Acha uboya ww yani mimi mchaga ningekuwa mkenya.. my footNa sisi pia tunyooshe hio sehemu iliopinda tukirudi nyuma uone sehemu ya tanzania ambayo itarudi kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamtima kako hakatulii eti🙇🙇Umenena vema.
Hebu nipe hio historia ambayo inaifanya Mombasa iwe wilaya ndani ya tanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndio lenu kuu,ubaguzi na ukabilaona baadhi ya Wakenya wa Mombasa
Hili ndio lenu kuu,ubaguzi na ukabila
Kwani ukisema wakenya kuna tatizo gani mpaka uweke msisitizo wa mombasa
Naamini katiba yenu ya 1,000 pages inatoa uhuru kwa mkenya kuamini anachoona kinafaa
Umeumia sana kusikia wezako wanamsifu magufuli,wewe pia una haki ya kutetea mass tests lakini usikataze wenzio wasiamini vingine
Hiyo mass test utanipima leo nipo negative,narudi mtaani kesho naambukizwa itakuaje
Ndio maana kwa ujuha wenu mmekubali kuwa sehemu ya majaribio ya chanzo ili kufurahisha wazungu,kwani ulaya hakuna watu?
Malizaneni za Wazenji ndio mje kutupigia makelele, halafu mumewaambukiza virusi sana kule....
Wanalia sana wale jinsi mumewakwamisha, wangekua mbali sana kiuchumi hii.