pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wakenya nataka kisikia maoni yenu kuhusu hizi kits za baadhi ya wanamichezo wa Kenya ambao watashiriki kwenye Olympics kule Japan hivi karibuni. Kits zenyewe zilizinduliwa hivi majuzi. Nimeona Wakenya, mashabiki na wanamichezo pia, wakizikataa kata kata kwenye mitandao na wengi wao wametishia kuliamsha.
Mimi mwenyewe nadhani kamati ya Olimpiki ya Kenya(NOCK) wameanza kutumia mihadarati live kwenye vikao vyao. This kits are ugly AF and they don't even represent Kenyan heritage and pride! Beehive design? Like seriously Nikey?
Tafuta maana ya heritage kwenye kamusi ya kiingereza, kila nchi ina heritage na identity yake. Pride ya Kenya kwenye michezo ni kama hivi.Kenyan heritage and pride ni zipi? Pamoja na mapenzi yangu kwa Nike hapo wamewaangusha.
Kit looks different na kwa mimi mpenzi wa originality sioni tatizo ila hio bendera ambayo imekuwa heat printed inaonyesha low quality ambayo ni kama wamempa tenda jamaa mtaani aziweke kwa kutumia pasi...
Nike wamechemsha kweli kweli, eti huu sasa ndio ubunifu wao.Ni nzuri kwakweli
Tafuta maana ya heritage kwenye kamusi ya kiingereza, kila nchi ina heritage na identity yake. Pride ya Kenya kwenye michezo ni kama hivi.
Kit yenu iko vipi?Hakuna kitu kama Kenyan heritage ila kuna Kalenjin heritage, Kikuyu heritage, Luo heritage ...n.k
Wakenya tayari wameibuka na petition ya kubadilisha hizo kits.Kits za awali ziachwe kama zilivyokua, waache masikhara.
Km vile ccm heritageHakuna kitu kama Kenyan heritage ila kuna Kalenjin heritage, Kikuyu heritage, Luo heritage ...n.k
Ungemuuliza kuhusu kits za wasukuma. Nadhani ni zile za kijani kibichi ambazo huwa wanafanya nazo push ups, wakishavimbiwa na wali wa kishirikina kwenye mikutano yao.Kit yenu iko vipi?
Ungemuuliza kuhusu kits za wasukuma. Nadhani ni zile za kijani kibichi ambazo huwa wanafanya nazo push ups, wakishavimbiwa na wali wa kishirikina kwenye mikutano yao.
CCM hoyee!Waulizwe Wasukuma na sio mimi.
wale wanafunzi Wakenya mmewarudisha?Mwambie Magu apeleke ndege Wuhan, wenzako wanataka rudi nyumbani.
wale wanafunzi Wakenya mmewarudisha?