pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Wakenya nataka kisikia maoni yenu kuhusu hizi kits za baadhi ya wanamichezo wa Kenya ambao watashiriki kwenye Olympics kule Japan hivi karibuni. Kits zenyewe zilizinduliwa hivi majuzi. Nimeona Wakenya, mashabiki na wanamichezo pia, wakizikataa kata kata kwenye mitandao na wengi wao wametishia kuliamsha.
Mimi mwenyewe nadhani kamati ya Olimpiki ya Kenya(NOCK) wameanza kutumia mihadarati live kwenye vikao vyao. This kits are ugly AF and they don't even represent Kenyan heritage and pride! Beehive design? Like seriously Nikey?