Baadhi ya ajali kubwa africa za magari ya mafuta na watu kuungua

Ni ukisefu wa hela ila ajira ipo so hio no sawa na unemployment afu juu yake ujinga na ukosefu wa masomo na pia tamaa.

Tulikuwa hapo miaka kumi iliyopita...tunapowaambia mpo nyuma yetu zaidi ya miaka 10 mnatokwa povu.
Ajira ipi? Wewe unaongea pumba gani? Mtu anaemiliki chombo cha usafiri tayari amevuka kiwango cha chini cha umasikini cha kimataifa, kama mtu anamiliki chombo cha moto na uwezo wa kikuhudumia anao maana yake kuhimili mahitaji yake ya msingi tayari anayamudu. Huyo sio masikini

Miaka 100 ya kufa njaa hilo kweli mlitupita, sio 10 tu. Revisit your data on that.
 
Sasa amefariki kwa ujinga na chombo chake kuharibika na kuwacha Bibi yake mjane na watoto pia kumkosa baba kitega uchumi...Sasa familia kabaki masikini zaidi. Had you thought about it in such an angle ama ulitumia akili za kidanganyika?

Mtaishi kuwa nyuma yetu hata kwa njaa, kwani umesahau kinyesi?

Mambo Haya ya mafuta yameweka wazi upungufu mkubwa wa Tz ambao mnauficha. Hakuna mtu aliye na pesa yake atakwenda kuchota mafuta yaliomwagika na akifanya hivyo basi akili zake punguani....So ni Umasikini au Akili punguani?
 
Yaani wewe Unataka kuforce matatizo yaliyopo Kenya yawepo Tanzania 😂😂😂😂 hilo halitokaa liwe, mnatumia nguvu nyingi sana kujidanganya umasikini, ufisadi, njaa na ukosefu wa ajira uliopo Kenya pia Tanzania upo badala ya kujifunza ni kwa namna gani you take a leaf out of us ili mbadilike.

Hiyo ndio dhana halisi ya mbuni kuficha kichwa ardhini wakati kiwiliwili kiko hewani, usipate shida sana kuamini kwamba majority walikuwa ni boda RIP, fungua TUNEIN tu popote duniani usikilize radio za Tanzania sababu wanafanya live coverage kwa wafiwa na wakazi wa Morogoro labda wao ndio wanaongopa kwamba walikuwa sio boda.
 
Bwanaee kila mtu na utashi wake hata marekani watu wengi tu wanakufa kwa meth and other addicts hata Kenya mlikufa zaidi ya 6000 on the same tragic plus hunger.
 
Bwanaee kila mtu na utashi wake hata marekani watu wengi tu wanakufa kwa meth and other addicts hata Kenya mlikufa zaidi ya 6000 on the same tragic plus hunger.
Vile nyie mnakufa kwa magonjwa a utapiamlo...hapo sawa kabisa.
 
Vile nyie mnakufa kwa magonjwa a utapiamlo...hapo sawa kabisa.
😅😅😅 Tanzania kama ni malnutrition deaths basi ni obesity sio marasmic kuashiorkor inayoondoa Wakenya wengi.
 
Kwa akili yako unazani dreva boda boda ni wote wanapenda ile kazi.jitadhimin mkuu ile sio ajira ni kuganga njaa.mimi boda boda nikihatarishi au kidonda inatembea nacho
Angalia video kabla ya ajali halafu useme kama zile sura ni za majobless, appearances zao sio za waliokosa ajira, after all waliopoteza maisha 80% ni madereva bodaboda RIP.
 
Kwa akili yako unazani dreva boda boda ni wote wanapenda ile kazi.jitadhimin mkuu ile sio ajira ni kuganga njaa.mimi boda boda nikihatarishi au kidonda inatembea nacho
Hapa umetumia lugha gani?

".......mimi boda boda nikihatarishi au kidonda inatembea nacho"
 
😅😅😅 Tanzania kama ni malnutrition deaths basi ni obesity sio marasmic kuashiorkor inayoondoa Wakenya wengi.
Bali na kula kinyesi
more than 2.7 millionTanzanian children under 5 years of age were estimated to be stunted and more than 600,000 were suffering from acute malnutrition, of which 100,000 were severe cases.Jan 11, 2018
 
Sikuelewi na Hii habari yako na sijui inahusika aje na ajali yenu ya mafuta...may they rest in peace.
 
Sikuelewi na Hii habari yako na sijui inahusika aje na ajali yenu ya mafuta...may they rest in peace.

Angalia maoni yako uliyotoa kuhusu umasikini Tanzania halafu uone hali ilivyo kwenu.
 
Wewe ni mjinga na hauna akili...
Jaribu kushirikisha ubongo wako kabla hujajadili chochote..
Kenya ni middle income ajali kama hii iliwahi kutokea,wale wakenya 50 waliokufa walikuwa maskini..???
 
Wewe ni mjinga na hauna akili...
Jaribu kushirikisha ubongo wako kabla hujajadili chochote..
Kenya ni middle income ajali kama hii iliwahi kutokea,wale wakenya 50 waliokufa walikuwa maskini..???
Miaka kumi iliyopita yani 2009. Waliokufa wakichota mafuta ni wajinga, wenye tamaa na masikini. Mbona RC wa Morogoro hakupatikana pale ikichota mafuta? Tumia akili Babaa na ukubali ukweli.
 
Hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kua HAYAPO - J.K NYERERE

Tanzania tuna tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira
 
Miaka kumi iliyopita yani 2009. Waliokufa wakichota mafuta ni wajinga, wenye tamaa na masikini. Mbona RC wa Morogoro hakupatikana pale ikichota mafuta? Tumia akili Babaa na ukubali ukweli.

Sasa kwani rc umeambiwa anaishi maeneo yale...??
We hata shule ulienda kweli!
 
Sasa kwani rc umeambiwa anaishi maeneo yale...??
We hata shule ulienda kweli!
Ninacho maanisha ni kuwa masikini ndio walikufa, maana ya RC sio hiyo ulioshika Bali ni watu wa class kama yake hawakuchomeka, hata dereva wa hilo Tanker hakuchomeka kwa kuwa si masikini(kiakili na pia kifedha) na Hilo ni tatizo tulilokuwa nalo miaka kumi iliyopita.

Kubali upungufu wenu wa elimu na Umasikini kuadhiri maisha yenu ya kila siku. Experience is the best teacher.
 
Yaani hapo kwenye elimu tunaweza kwenda sawa,lakini elimu ipo,tatizo watu walipata elimu lakini hawakuelimika(kuna tofauti kati ya mtu mwenye elimu na aliye elimika)...hakuna mtu ambaye ni mwendesha pikipiki asiyejua hatari ya petroli,hata magari yale ya mafuta kuandikwa HATARI..kwa hiyo ni jambo litokanalo na watu kutoelimika na tamaa..si umasikini!

Be reasonable my friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…