REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Ajira ipi? Wewe unaongea pumba gani? Mtu anaemiliki chombo cha usafiri tayari amevuka kiwango cha chini cha umasikini cha kimataifa, kama mtu anamiliki chombo cha moto na uwezo wa kikuhudumia anao maana yake kuhimili mahitaji yake ya msingi tayari anayamudu. Huyo sio masikiniNi ukisefu wa hela ila ajira ipo so hio no sawa na unemployment afu juu yake ujinga na ukosefu wa masomo na pia tamaa.
Tulikuwa hapo miaka kumi iliyopita...tunapowaambia mpo nyuma yetu zaidi ya miaka 10 mnatokwa povu.
Miaka 100 ya kufa njaa hilo kweli mlitupita, sio 10 tu. Revisit your data on that.