Baadhi ya ajali kubwa africa za magari ya mafuta na watu kuungua

Mkuu, umeweka heading bila habari tafadhali...
 
Hata hapa Kenya ilitendeka, nadiriki kukiri kwamba chanzo kikubwa ni ukosefu wa ajira kwa vijana, japo niliona Watanzania humu wakijisifu kwamba kwao hamna tatizo la ajira, eti hao waliungua tu kisa tamaa.
Umaskini upo, vijana hawana ajira, wapo tayari kuhatarisha maisha, leo hii hata basi la abiria likihusika kwenye ajali, vijana wanawaibia majeruhi bila kujali utu.
 
Angalia video kabla ya ajali halafu useme kama zile sura ni za majobless, appearances zao sio za waliokosa ajira, after all waliopoteza maisha 80% ni madereva bodaboda RIP.
 
Desperate attention seeker, kwa hivyo mumeshachambua hiyo miili na kujua yupi alikua dereva wa bodaboda na yupi hakua na ajira. MaCCM kweli mumeikandamiza nchi yenu maana kuna mataifa ukitoa tamko kama hili unashambuliwa kishenzi, lakini kwa watu waliokata tamaa na kukubali kubamizwa, wanapiga kimya tu.
 
ALiyesema kuwa tanzania 🇹🇿 haina upungufu wa ajira ni mpumbavu.

Waaalimu tu wa artshawapewi ajira. Wakati shuleni hakuna waaalimu.
 
Nitafute attention kwako kwa kipi hasa? After all who needs anonymity attention? Lol you the regional jobless masterpiece

20190417_112357png.png

Na kuhusu marehemu RIP kuwa ni madereva boda ni kwa mujibu wa waliopo eneo la tukio, after all boda nyingi zimeungua vile vile na Morogoro ni kati ya mikoa Tanzania haina shida ya ajira kabisa.
 
ALiyesema kuwa tanzania 🇹🇿 haina upungufu wa ajira ni mpumbavu.

Waaalimu tu wa artshawapewi ajira. Wakati shuleni hakuna waaalimu.
Haina upungufu wa ajira ndio sababu tunaenda na takwimu tena from independent and current sources
20190811_061439png.png

Kuhusu ajira kwa walimu ni juzi tu serikali imetoa ajira mpya zaidi ya 4500 kwa walimu.

Ukiongea kama mtu mzima mwenye utimamu pahala ongea kwa facts.
 
Attachments

  • 20190417_112357png.png
    20190417_112357png.png
    234.3 KB · Views: 22
Desperate attention seeker, kwa hivyo mumeshachambua hiyo miili na kujua yupi alikua dereva wa bodaboda na yupi hakua na ajira. MaCCM kweli mumeikandamiza nchi yenu maana kuna mataifa ukitoa tamko kama hili unashambuliwa kishenzi, lakini kwa watu waliokata tamaa na kukubali kubamizwa, wanapiga kimya tu.
Salaam,
Ni kweli wengi walikuwa bodaboda na bahati mbaya zaidi wameungua na boda zao. Japo haina maana hakukuwa na wengineo, mfano Mama Ntilie pia walikuwepo, wapiga debe na hata jobless walikuwepo. Ndio hivyo ajali ni ajali.
 
Hata hapa Kenya ilitendeka, nadiriki kukiri kwamba chanzo kikubwa ni ukosefu wa ajira kwa vijana, japo niliona Watanzania humu wakijisifu kwamba kwao hamna tatizo la ajira, eti hao waliungua tu kisa tamaa.
Umaskini upo, vijana hawana ajira, wapo tayari kuhatarisha maisha, leo hii hata basi la abiria likihusika kwenye ajali, vijana wanawaibia majeruhi bila kujali utu.

Hapana Mkuu,tatizo ni watu hawaelimiki(ujinga) na tamaa..
 
Haina upungufu wa ajira ndio sababu tunaenda na takwimu tena from independent and current sources
View attachment 1178038

Kuhusu ajira kwa walimu ni juzi tu serikali imetoa ajira mpya zaidi ya 4500 kwa walimu.

Ukiongea kama mtu mzima mwenye utimamu pahala ongea kwa facts.
Hio source ni crap.

Hao walidanganya kuwa uchumi umepanda kwa 7% kumbe kiukweli ni 4.5% na wakabadilishaa sheria ya takwimu hapo hapo ili kuwadanganya wananchi.
 
Hata hapa Kenya ilitendeka, nadiriki kukiri kwamba chanzo kikubwa ni ukosefu wa ajira kwa vijana, japo niliona Watanzania humu wakijisifu kwamba kwao hamna tatizo la ajira, eti hao waliungua tu kisa tamaa.
Umaskini upo, vijana hawana ajira, wapo tayari kuhatarisha maisha, leo hii hata basi la abiria likihusika kwenye ajali, vijana wanawaibia majeruhi bila kujali utu.
Wakati mwingine vijana ajira wanazo ila hawajui kama wanazo...walikufa morogoro wengi wao ni bodaboda...hiyo ni ajira haswaaa...tatizo ni tamaa tu...wamesahau tamaa mbele mauti nyuma!
 
Mkuu, umeweka heading bila habari tafadhali...
Here is a recap of the most deadly tanker blasts in Africa in the last decade, after at least 60 people died in Tanzania on Saturday when a fuel tanker exploded after overturning.

Accidents involving petrol tankers have proved extremely deadly as locals often flock to the scene of accidents to scoop us spilled fuel.

- May 6, 2019, Niger: At least 76 people die in an explosion near the airport of the capital Niamey. Most of the victims were trying to collect fuel flowing from the overturned truck when the blast occurred.

- October 6, 2018, Democratic Republic of Congo: At least 53 people are killed when an oil tanker collides with another vehicle and catches fire on a highway west of the capital Kinshasa.

- November 17, 2016, Mozambique: At least 93 people are killed when an oil tanker carrying petrol explodes in the west of the country. Hundreds were trying to siphon off the fuel at the time.

- September 16, 2015, South Sudan: At least 203 people are killed and 150 injured as people try to recover fuel from an oil tanker following a road accident west of the capital Juba.

- May 31, 2015, Nigeria: At least 69 people burn to death in the southeast of the country after a petrol tanker loses control, rams into a busy bus station and bursts into flames.

- July 12, 2012, Nigeria: At least 104 people are killed as they try to recover fuel from a petrol tanker following an accident in the southern River State.

- July 2, 2010, DR Congo: At least 292 people are killed in a petrol tanker blast in the eastern village of Sange. Some victims were trying to recover fuel after the accident; others were watching a World Cup football match nearby.

- October 9, 2009, Nigeria: At least 70 people are killed in the southeastern Anambra state after a petrol tanker explodes and the flames engulf several other vehicles.

- January 31, 2009, Kenya: Flames engulf a crowd scooping fuel when a tanker overturns near Molo, northwest of the capital Nairobi, killing some 122 people.
 
Swali la msingi, mlitumia mbinu gani kutabainisha kwamba hao 60 ni madereva wa bodaboda, au ni ile tu mliona kuna bodaboda zimeungua, ina maana madereva walikwenda kuchota mafuta huku wakiendesha pikipiki zao hapo......

Tatizo lipo, mtaficha vichwa ardhini lakini litaendelea kuvimba, kumbuka sio mara ya kwanza http://michaelmazalla.blogspot.com/2015/02/watu-watatu-wafariki-18-wajeruhiwa.html#.XU-09_IzbIU
 
Angalia video kabla ya ajali halafu useme kama zile sura ni za majobless, appearances zao sio za waliokosa ajira, after all waliopoteza maisha 80% ni madereva bodaboda RIP.
Ni ukisefu wa hela ila ajira ipo so hio no sawa na unemployment afu juu yake ujinga na ukosefu wa masomo na pia tamaa.

Tulikuwa hapo miaka kumi iliyopita...tunapowaambia mpo nyuma yetu zaidi ya miaka 10 mnatokwa povu.
 
Hio source ni crap.

Hao walidanganya kuwa uchumi umepanda kwa 7% kumbe kiukweli ni 4.5% na wakabadilishaa sheria ya takwimu hapo hapo ili kuwadanganya wananchi.
Hizo ni stats kutoka International labour organisation na AfDB kama unazo substitute zilete, sio maneno hewa.
 
Back
Top Bottom