Barabara ya Kitete Hospital, kupitia bank ya damu hadi Game reserve imeota majani mengi kwa muda mrefu na haijawahi safishwa.
Hali hiyo inapelekea watembea wa miguu kuwa hatarini maana wanatembea katikati ya barabara maana barabara imekua ndogo, majani yameota upande wa kushoto na kulia.
Tunaomba mamlaka ishughulikie suala hili la muda mrefu.