PostGE2025 Baadhi ya Bodaboda Kiwira wakataa maandamano, wamshukuru Mbunge wa Mbeya Mjini Patrick Mwalunenge

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hivi ni lini Serikali itakuja kukubali hizi propaganda za kuchukua a certain section of a certain demographics na kuwarekodi in a video kupush agenda kwamba hiyo mbinu sasa hivi haifanyi kazi?

Si hata wawe wabunifu?

=================================
Bodaboda katika Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe, wamepinga vikali wito wa kuandamana unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Wakizungumza katika ufunguzi wa mafunzo maalumu ya udereva salama kwa madereva wa bodaboda wa kata hiyo, vijana hao wamesisitiza kuwa hawatashiriki katika maandamano yoyote yasiyo rasmi, wakibainisha kuwa hatua hiyo inaweza kuathiri usalama wao, shughuli zao za kila siku na maslahi yao ya muda mrefu.

Aidha vijana hao "wamempongeza" Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Patrick Mwalunenge, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, kwa mchango wake mkubwa katika kuhakikisha maslahi ya vijana, hususan wa sekta ya bodaboda, yanajulikana na kushughulikiwa ipasavyo.

Ni hawA wasomi uchwara wenye digrii za chupi na madesa ambao hawataki kujishugulisha ndio wana hasira wanadhani walitakiwa kupata kazi serikalini automatically baada ya masomo,
Waliwachochea bodaboda wengi kuingia rodini masikini wameuwa wengi sana, wao wemerudi humu kuimbaimba maandamano D9 wakati D29 walikuwa chini ya uvungu
 
Ni moja ya watu waliokua targeted 29/10 na wenzao wameuliwa sana hapo mbeya...
Elimu elimu elimu.....
 
Wakuu,

Hivi ni lini Serikali itakuja kukubali hizi propaganda za kuchukua a certain section of a certain demographics na kuwarekodi in a video kupush agenda kwamba hiyo mbinu sasa hivi haifanyi kazi?

Si hata wawe wabunifu?

=================================
Bodaboda katika Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe, wamepinga vikali wito wa kuandamana unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii

Wakizungumza katika ufunguzi wa mafunzo maalumu ya udereva salama kwa madereva wa bodaboda wa kata hiyo, vijana hao wamesisitiza kuwa hawatashiriki katika maandamano yoyote yasiyo rasmi, wakibainisha kuwa hatua hiyo inaweza kuathiri usalama wao, shughuli zao za kila siku na maslahi yao ya muda mrefu.

Aidha vijana hao "wamempongeza" Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Patrick Mwalunenge, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, kwa mchango wake mkubwa katika kuhakikisha maslahi ya vijana, hususan wa sekta ya bodaboda, yanajulikana na kushughulikiwa ipasavyo.

Hawa wanajitambua...
 
Ndugu zangu wa Kiwira nawajua.... sio hawa 😂 😂 😂
 
Tunaheshimu maoni yao,je hawakupewa zile pikipiki za njano?
 
Ni hawA wasomi uchwara wenye digrii za chupi na madesa ambao hawataki kujishugulisha ndio wana hasira wanadhani walitakiwa kupata kazi serikalini automatically baada ya masomo,
Waliwachochea bodaboda wengi kuingia rodini masikini wameuwa wengi sana, wao wemerudi humu kuimbaimba maandamano D9 wakati D29 walikuwa chini ya uvungu
Yaani vijana wenye elimu za kueleweka wanawekwa kando kazi anapewa Wanu mtt wa samuya mwenye elimu ya kuunga unga kwa superglue kama ya mamake!
 
Back
Top Bottom