Wakuu,
Hivi ni lini Serikali itakuja kukubali hizi propaganda za kuchukua a certain section of a certain demographics na kuwarekodi in a video kupush agenda kwamba hiyo mbinu sasa hivi haifanyi kazi?
Si hata wawe wabunifu?
=================================
Bodaboda katika Kata ya Kiwira, Wilaya ya Rungwe, wamepinga vikali wito wa kuandamana unaosambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Wakizungumza katika ufunguzi wa mafunzo maalumu ya udereva salama kwa madereva wa bodaboda wa kata hiyo, vijana hao wamesisitiza kuwa hawatashiriki katika maandamano yoyote yasiyo rasmi, wakibainisha kuwa hatua hiyo inaweza kuathiri usalama wao, shughuli zao za kila siku na maslahi yao ya muda mrefu.
Aidha vijana hao "wamempongeza" Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya Patrick Mwalunenge, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, kwa mchango wake mkubwa katika kuhakikisha maslahi ya vijana, hususan wa sekta ya bodaboda, yanajulikana na kushughulikiwa ipasavyo.
Tunaheshimu maoni yao,je hawakupewa zile pikipiki za njano?Wakuu,

Yaani vijana wenye elimu za kueleweka wanawekwa kando kazi anapewa Wanu mtt wa samuya mwenye elimu ya kuunga unga kwa superglue kama ya mamake!Ni hawA wasomi uchwara wenye digrii za chupi na madesa ambao hawataki kujishugulisha ndio wana hasira wanadhani walitakiwa kupata kazi serikalini automatically baada ya masomo,
Waliwachochea bodaboda wengi kuingia rodini masikini wameuwa wengi sana, wao wemerudi humu kuimbaimba maandamano D9 wakati D29 walikuwa chini ya uvungu