Yah mbona inawezekana slot moja 16 single na nyingine 4gbKudadeki Ram 20gb!!? Af ni zawadi!!? Mzee kwani April fool si huwa ni siku moja tu
Hiyo mkuu.Mkuu unaweza kuweka vizuri model ya hiyo machine tuicheck google? Maana nyingi hapa naziona zina RAM ya 12GB, 16GB
*Najua RAM Ipo zaidi ya hiyo Ila naongelea hp envy.
View attachment 1431275
[emoji116]Mkuu hapo kisichowezekana ni kipi au kipi ni kigumu kwako? Hujawahi kuona laptop yenye ram ya 20GB ama nini? Au mtu hawezi kupewa zawadi laptop ya gharama hiyo?
Kigumu kwako hapo ni kipi nikusaidie?
, [emoji116]Kama hujui kitu, si utumie hata Google kujifunza kidogo. Computer aliyosema mtoa mada ipo na watu wanazo. Na mimi nimeshaiona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze namna ya kutafta jambo google.
20GB of RAM my [emoji3097]
Sent from my iPhone using Tapatalk Pro
PC zitatofautiana itakuwa missmacht memory ambapo inaweza mashine isdispaly au ikadisplay lkn ikatoa mistari ya rangiKamatia hapohapo kiongozi... Wengine ndio tunajifunza... Sasa kwani hawezi weka slot ya kwanza 16 gb na ya pili 4gb kukamilisha 20gb???
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana aisee ukiweka ram za ukubwa tofauti haina madhara yoyote na ukiweka pia za speed tofauti ile yenye speed kubwa itapunguzwa tu uwezo na kuwa sawa na ya speed ndogo.PC zitatofautiana itakuwa missmacht memory ambapo inaweza mashine isdispaly au ikadisplay lkn ikatoa mistari ya rangi
Common DDR4 ram kwa 4gb ni
ddr4 4gb pc4 17000 2133 mhz
wakati chache ni pc4-21300 2666mhz
Huku ddr4 16gb pc4-21300 2666mhz ndio nyingi
Ingawa za mhz 2133 zipo pia
So inakuwa ujinga ambao hauna maana yoyote kuweka 16gb pc4 21300 na 4gb pc4 21300
Sawa unawaste monaye tu
Ndo mana nikasema Hp hawezi tengeneza PC kubwa hvyo halafu akaweka ram hvyo lbda kama aliupgrade mtumiaji mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kuweka vizuri model ya hiyo machine tuicheck google? Maana nyingi hapa naziona zina RAM ya 12GB, 16GB
*Najua RAM Ipo zaidi ya hiyo Ila naongelea hp envy.
View attachment 1431275
Kabla hujabisha jambo hakikisha unalijua vizuri. Kubisha jambo usilolijua ni dalili za ujinga.
Tatizo la watu humu hujifanya wanajua kila kitu kumbe hawajui chochote. Sasa mtu anashupaza shingo kubisha hakuna laptop ya 20GB RAM kama vile yeye ndie anakiwanda pekee cha kutengeneza laptop na anajua hakuna 20BG RAM.
Wewe computer zote ambazo watanzania wanazo unazijua specifications zake hadi useme hiyo Tanzania haipo?.Hiyo computer ya hivyo sijui kama Tanzania ipo
Sent using Jamii Forums mobile app