Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

Chief-Mkwawa,
Ahsante sana. Nimeweka hiyo Gboard naona ni mzuri sana kuliko samsung key board.
Ntajaribu Snapseed.

Ar app hua sielewi hata zinafanyaje kazi. Kwa kweli mimi bado mshamba kwenye ar na ai. Ila ntaendelea kujifunza maana elimu haina mwisho.
 
Umewashika ,

Wape somo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa vijana wetu tunaenda nao taratibu tukiwaelimisha.

Mtu anakuja na hoja ya generalization eti Tanzania haipo kama vile yeye anajua laptop au computer zote zinazotumiwa na watanzania wote specifications zake.

Ni sawa na mtu anakuja anasema sisi watanzania ni masikini sana au watanzania tunalala njaa, hii ni generalization syndrome. Watu wanatakiwa kuachana nayo, wajisemee wenyewe, kama huna sema sina mimi au ukoo wetu hatuna, kama umelala njaa sema mimi nimelala njaa au nyumbani kwetu tumelala njaa kwa sababu kuna watu njaa hawaijui kabisa.

Nadhani hawa wengi ni vijana walio likizo ya vyuo na shule sababu ya corona. Vichwa vyao vina taarifa chache.
 
Back
Top Bottom