1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
[emoji86]Mkuu hapo kisichowezekana ni kipi au kipi ni kigumu kwako? Hujawahi kuona laptop yenye ram ya 20GB ama nini? Au mtu hawezi kupewa zawadi laptop ya gharama hiyo?
Kigumu kwako hapo ni kipi nikusaidie?
Umewashika ,Wewe computer zote ambazo watanzania wanazo unazijua specifications zake hadi useme hiyo Tanzania haipo?.
Mkuu hawa vijana wetu tunaenda nao taratibu tukiwaelimisha.
Ina maana hazipo zenye RAM 20GB, au mnajaribu kusema nini hasa?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo chai yaan 20GB RAM
Sent using Jamii Forums mobile app
2 slots.Kudadeki Ram 20gb!!? Af ni zawadi!!? Mzee kwani April fool si huwa ni siku moja tu