Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,800
- 4,859
Watanzania hawasemi ila awamu hii taasisi ni zinafanya hovyo hovyo hovyo nafuu wangedeal na hospitali tu mengine wakaachaSamia ako na said katika cheka Tu .
Next week katika cheka Tu nadhani episode itakuwa "asante mama Kwa kunipa no, yako 😎
Hakuna jina la kuwapa ni wajinga wankupitiliza ila huu ni mtaji mkubwa wa serikali yetu.Hivi ni Sahihi kusema Watanzania ni "Wapole" au "Wajinga "??
Mkuu huduma ninzimefifia,Ukija moshi huku ndiyo utajuta kuugua. Iwe ni hospitali ya serikali ya dini au mtu bonafsi mateso ni yale yale.
Nilienda st joseph ili kupima mkojo nikaambiwa lazima ulipe 10k ili nimuone daktari aniandikie.
Kumuona daktari, kupima vipimo vingi kumuona daktari tena.-ambaye siyo yule kwanza ilichukua saa 10.
Nilizira matibabu. Nikaondoka zangu saa 3 usiku.