Baadhi ya kazi ndogo ndogo zinazoweza kupa connection kubwa ukatoka kimaisha kirahisi
Hizi kazi zaweza onekana ndogo na mshahara mdogo lakini ukiwa mwaminifu sana na kufanya zaidi ya kazi umepewa rahisi kutoka kimaisha
Kazi ya kwanza ni u house girl .Ma house girls wengi waaminifu na wachapa kazi kwa muda nrefu wengi hugeuka sehemu ya familia na waweza olewa kwenye familia ya matajiri ndugu wa bosi na umaskini ukaisha
Udereva wa kuendesha mtu binafsi mwenye uwezo wake na connection zake kwa muda mrefu kwa uaminifu akikuamini sana lazima connection aweza kukupa wewe au watoto au ndugu
Ulinzi majumbani mwa watu binafsi mtu usilinde tu muombe hata bosi gari yake uwe unasafisha bure jitume hadi afike kukuona sehemu ya familia
Mwalimu wa chekechea ,na msingi hasa penda watoto fundisha kwa juhudi mno uwe kipenzi cha watoto sifa zako watoto watabeba na kupeleka kwa wazazi wao hata kama hawatakusaidia wewe waweza saidia watoto wako kama wana changamoto za ajira nk
Kibarua wa shamba au mifugo chapa kazi hadi uaminiwe hasa akuone mwenye shamba kama sehemu ya familia
Wahudumu makanisani na misikitini wa ngazi zote .Hudumu kwa uaminifu na juhudi.Uaminifu na juhudi utalipa na kukupa connection nyingi
Makenika wa magari na mafundi wa kushona nguo .Hayo maeneo ukiwa mwaminifu sana utatoka kimaisha na connection utapata nyingi tu sababu watu kibao wenye connection zao utakutana nao
Ziko nyingi nimetaja baadhi tu zingine ongezeni wengine
Kazi yaweza kuunganisha na wenye connection Hivyo kila fursa ukipata hata ndogo itumie vizuri