Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiUmesema kweli. Jamaa mmoja alikuwa mlinzi kwenye kampuni yetu.
Yule jamaa alikuwq analinda tu akajiongeza nje ya Fensi akapanda maua na nyasi.
Kampuni ikahitaji Gardener, mlinzi aka apply.
Kwa kuwa Bosi alimuona juhudi zake. Akachukuliwa kama Gardener mshahara ukapanda kutoka laki tatu hadi laki sita.
Kujiongeza ni muhimu sana kila unapopewa fursa.
Bahati mbaya wafanya hizo kazi full malalamiko.