A
Anonymous
Guest
Baadhi ya maduka ya bidhaa za chakula Biharamulo ni machafu sana kiasi kwamba yamekuwa ni makazi ya panya.
Wauzaji kwa makusudi pasipo kujali usalama wa walaji wanauza bidhaa zilizoliwa na panya na wanakuwa wakali pindi mteja anapolalamika.
Tunaomba mamlaka husika kuhakikisha usafi wa maduka haya pamoja na bidhaa zinazouzwa ili kulinda afya na usalama wa walaji